Anataka kurudi baada ya kukimbilia kwao

Anataka kurudi baada ya kukimbilia kwao

Ni miezi 4 sasa tokea mke wangu kukimbia na kuondoka na vitu na kuniacha kama nipo form one. Sasa anataka kurudi ili tuanze maisha mapya kwa sababu tulibahatika kupata mtoto mmoja.

Moyo wangu japo ninampenda ila nikikumbuka dharau, manyanyaso, maneno ya shombo kutoka kwa upande wa kwao nawaza sana. Maana ndoa si watu wawili tu yaani mke na mume, bali ni muunganiko wa familia mbili.

Nina maswali mengi sana ambayo hayana majibu;
~ Anarudi kwangu kwa ugumu wa maisha?
~ Anarudi kwangu kwa ajili ya kulea mtoto?
~ Anarudi kwangu amejifunza kuthamini mume?
~ Au anataka arudi kunimaliza kabisa?

Maana aliondoka kwa kishindo sana.
Anarudi akumalize kabisa.

Mkubalie
 
HAYO yote sio majibu.Wewe unadhani ndoa zote hizi zinazoendelea mwanaume hajawahi kuondoka na pesa nyingi tu akazitumia baadae akasamehewa na mkewe akarudi wakaendelea kuishi???Wanawake wangapi waliondoka na vyombo lakini baadae wanarudi na vyombo kwa mumewe na maisha yanaendelea tu vizuri!Asilomia kubwa ya Mwanamke yoyote AKONDOKA huwa anabeba vitu.Kukosana kwenye ndoa ni kawaida saaana.Kama hakuna mgogoro ndani ya ndoa hiyo sio ndoa maana nyie sio malaika.HUYO ALIONDOKA KWA HASIRA TU.Wewe kubali arudi na vyombo maisha yaendeleee.lakini muwekee masharti.KWA USHAURI ZAIDI KATAFUTE WAZEE WENYE UMRI WA MIAKA 55 NA KUENDELEA WALIOKO KWENYE NDOA ZAO WATAKUPA USHAURI BORA.KATAFUTE WENYE BUSARA NA HEKIMA,LKN SIO HUMU.HUMU NDUGU JIBU LAO MOJA TU UACHANE NAE.KUMBUKA ANAWEZA KURUDI NA AKAWA MKE BORA KULIKO MWANZO.HIVI NI MARA NGAPI KABEBA VITU KAONDOKA?????USIONE WATU WAPO MIAKA 25 NDANI YA NDOA WALIPITIA HAYA NA MENGI ZAIDI YA HAYA.KIKUBWA NI KUSAMEHEANA NA KUVUMILIANA.Akirudia Tena mwache NDUGU,kumbuka wahenga walisema Kosa moja haliachi mke!!!!!
Kitu ambacho sojawahi kukiona kwawazazi wangu kamwe sitakuja kukiona cha kawaida au ndio sahihi. Wao pamoja na kugombana na visa vingi lakini hakuna hata tukio mojawapo kati ya hayo sijawahi kuyaona wala kuniambia maisha yangu aje mtu baki aseme eti ndio maisha ya ndoa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Labda kama mimi chizi ila waalimu wakubwa wa maisha yangu ni wazazi wangu, vitimbwi sitavivumilia, mkishindwa kuvumiliana bila kuonyesha aibu na kuwaumiza watoto in the process basi achaneni, hiyo ndoa imefeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Mimi sijawahi kumuona baba yangu akimtupia nguo mama sebuleni huku akimwambia aondoke,hamtaki.lakini nilishuhudia live kwa kizazi hiki
 
Ni miezi 4 sasa tokea mke wangu kukimbia na kuondoka na vitu na kuniacha kama nipo form one. Sasa anataka kurudi ili tuanze maisha mapya kwa sababu tulibahatika kupata mtoto mmoja.

Moyo wangu japo ninampenda ila nikikumbuka dharau, manyanyaso, maneno ya shombo kutoka kwa upande wa kwao nawaza sana. Maana ndoa si watu wawili tu yaani mke na mume, bali ni muunganiko wa familia mbili.

Nina maswali mengi sana ambayo hayana majibu;
~ Anarudi kwangu kwa ugumu wa maisha?
~ Anarudi kwangu kwa ajili ya kulea mtoto?
~ Anarudi kwangu amejifunza kuthamini mume?
~ Au anataka arudi kunimaliza kabisa?

Maana aliondoka kwa kishindo sana.
Huwa hawaaminiki sana kuwa makini...
 
Hata Mimi sijawahi kumuona baba yangu akimtupia nguo mama sebuleni huku akimwambia aondoke,hamtaki.lakini nilishuhudia live kwa kizazi hiki
Ndio ujue kwamba sikila kijana amelelewa au anaishi fikra za kizazi hiki. Nayajua maadili niliyokulia na wajibu niliofundishwa hivyo sitakaa niyaishi ya kizazi hiki maana nimezaliwa mwenyewe na nitakufa mwenyewe sijazaliwa na kizazi kizima. Hivyo, usitegemee niyavumilie ya kizazi hiki ukiniambia ndio ndoa hiyo. Hiyo ndoa iishi mwenyewe. Umeona ameyafanya, basi yaone na yaache ila usiige. Ndoa siyo maigizo.
 
NDO MANA KUNA KUSAMEHE NA KUVUMILIANA.wazazi huwa wanaficha Mambo mengi Sana,makubwa Sana kuliko hili lako.Ndo Mana mpaka leo unasema hujashuhudia,hata Mimi sijashuhudia.Hakuna ndoa isio na migogoro.
Marehemu Bibi yangu alisimamishwa mahakamani na Babu kiss TU Kila mtoto akijifungua anakufa.ilikuwa NI siku ya tatu TU tangu ajifungue.UPOOO???
 
Kuna viatu ni vigumu kuvielezea mpaka uwe ndani ya mchezo
 
Hapo wataalamu wa mahusiano wanakwambia ndoa ndo inakomaa,yaani ndoa yako iko kipindi Cha ujana.ujana Mambo mengi.UKIYAVUMILIA HAYA,NA KUSAMEHEANA,NDOA YAKO HAITAVUNJIKA TEEENA.
 
Hapa ndipo formula ya wana kataa ndoa inapoingia! Kuna wengine wapo ndoani wanalia kwa maumivu
 
NDO MANA KUNA KUSAMEHE NA KUVUMILIANA.wazazi huwa wanaficha Mambo mengi Sana,makubwa Sana kuliko hili lako.Ndo Mana mpaka leo unasema hujashuhudia,hata Mimi sijashuhudia.Hakuna ndoa isio na migogoro.
Marehemu Bibi yangu alisimamishwa mahakamani na Babu kiss TU Kila mtoto akijifungua anakufa.ilikuwa NI siku ya tatu TU tangu ajifungue.UPOOO???
Ndio maana nakwambia, ndoa sio maigizo au drama. Wanavumiliana na kuficha mengi ila kamwe hawakimbii wala kuvunja familia. Wewe la huyo babu yako kumpeleka bibi yako mahakamani ndio ulipokulia ila mini ninachojua, kasirikianeni, nuniana ila kamwe sio kuingiza dramas za kufichua aibu za ndoa yenu ndio uite ndio maisha ya ndoa, sikubali kamwe. Wazazi wangu waligombana labda ila kamwe hawajatufanya sisi tuone familia inavunjika na mwanzo mwisho waliishi kwaajili ya kustawisha zao lao yaani watoto wao. Wewe uniambie kukimbizana kama paka na panya na kuvunja na kuyaunga familia ovyoovyo ndio uite ndoa. Iishi mwenyewe hiyo ndoa, sio ndoa niliyolelewa mimi. Hakuna hata mzazi wangu mmoja aliyejaribu kutibua amani au umoja wa familia au ndoa yao, nahivyo ndivyo niaminivyo. Wewe kukosewa hakukupi haki ya kuivunja au kutibua familia yako halafu ndio uiite ndoa, ndoa hiyo imefeli akilini mwangu. Ukishaunda familia uwe mwanaume au mwanamke, jua furaha unayoitengeneza ni ya uzao wako sio yako. Sasa kuvunjavunja familia kiasi cha kumfanya mwenzako kuwa masikini wa maisha ndio uiite ndoa, hiyo ndoa iishi mwenyewe. Lasivyo imeshafeli, achaneni kabisa sio kuwaumiza watoto kwa matrauma yasiyo na mbele wala nyuma. Narudia tena, ndoa sio maigizo, ukiitaka hiyo tafuta mwenzako mnaeendana naye muigize.
 
Kama wewe hujawahi KUMKOSEA mkeo Basi usirudiane nae Tena.Lkn Mara nyingi wanaume ni wepesi kulalamika wanapotendewa,Tena huongea vitu vya uongo I'll TU aonekane mtakatifu.JE WEWE HUJAMKOSEA MKEO???NINI CHANZO CHA MGOGORO HADI MWANAMKE ABEBE VITU????Maana shilingi Ina pande mbili,na mkeo kutaka mrudiane sio ndo mkosaji Mia kwa mia.chanzo NI nini????
 
Wewe umeona nimeongelea nani kamkosea mwenzake hapo au nimekwambia mwanaume ni mtakatifu. Mimi nimeshakwambia, kosaneni, paruraneni au sijui nini ila sihaki yako kuivunja familia vipandevipande kesho urudi kuiunganisha kwahuruma. Wewe unakomaa kuwa wote wanakosea, mimi nimekukatalia kwani. Ila sitakaa kukaa na mtu ambaye yutayari kuvunja ndoa au familia vipandevipande pale tu akosewapo awe mwanaume au mwanamke. Sasa wewe komaa na wote mnakosea wakati ninachokutajia kingine. Pambana na haki sawa zako.
 
Niko pamoja na wewe,lkn Kila mtu na uwezo wake wa kuhandle hasira.Wewe kinachokusumbua ni hiki
Kwanza umesema maneno maneno aliyokuzushia kwao
Pili Hadi kwao wanakudharau
Tatu watu watakuonaje,yaani kitendo Cha mkeo kurudi Tena kwako.
SASA MAAMUZI NI YAKO KWA SABABU MAJIBU ULIKUWA NAYO KABISAA,ULITAKA USHAURI WA NINI???
Sasa maisha ya kumwangalia flani flani nayo siyo mazuri.hutaoa.
Mfano mwanamke akifukuzwa saa nane usiku na mumewe akimbilie wapi????
 
Ninawaangalia wazazi wangu sio watu baki hivyo sijaona kosa langu.
 
KAMA HUJAONA KOSA BASI ACHANA NAE.MAANA UNAPENDA KUAMBIWA MUACHANE.na uwe tayari kupeleka matumizi ya mtoto.
 
Kwani solution yangu kwahiyo ndoa tangu mwanzo ni nini, sinilisema tuachane. Huwezi kuvunja ndoa au familia kwavipandevipande leo uje uiunge mwezi ujayo useme ndiyo maisha ya ndoa, huo ni ukosaji wa hekima na uvumilivu. Familia kipindi hiki zimekuwa maigizo tupu pasipo kujali ustawi wa watoto kwasababu kila mzazi kujali furaha yake pasipo ustawi wa watoto na ndoa kwaujumla. That marriage has failed! Pia kutoa matumizi ya mtoto siyo dhambi maana ni mtoto wangu ulitaka nani amlee maana hata pasipokuachana pia matumizi ningetoa maana mwenzako akijisikia tu hasira yutayari kuivunjavunja familia kuwa vipande ili kesho kuvirudisha na kuviunganisha baada ya miezi kadhaa, sasa mnajenga familia au mnaigiziana. Tuache dramas, ukiamua kuwa kwenye ndoa na kujenga familia achana na utoto, focus iwe kwenye kujenga familia na watoto nasikuivunja pale unapojisikia. Kizazi cha ajabu kuwahi tokea. Maadili yanashuka kila siku ila mnaona ndio fashion, yaani familia inaonwa kama maigizo simsioane basi au muachane maana hamuijui kuitunza.
 
Kila mtu na mawazo yake na kichwa chake.ulivyowaza wewe NI tofauti na mwenzako.hata darasani somo NI moja lakini Kila mtu anapata alama zake.Mungu alishajua hili ndo Mana KWENYE Biblia wanasema kuchukuliana madhaifu yet,KUSAMEHEANA na kuvumiliana.Ungekuwa unaijua dini au wa Rohoni ungenielewa ZAIDI.
 
Back
Top Bottom