Anataka kuwahamishia watoto wake olympio. Walikua shule ya private. Anauliza apange nyumba sehemu gani ili iwe rahisi kwa watoto wake kwenda shule

inategemea na Uchumi Wake, Kama Anajiweza Apange Hapo Upanga, Posta au Kariakoo.
ila School Buses za Hizo shule Olympio na Diamond Zinafika Popote Pale Dar es Salaam.

NB; Umenikumbusha Mbali Daah, Hapo Olympio Kuna Jengo Moja Opposite na Shule Ni Ghorofa La Wahindi Ndo Nilikuwa Nalinda Hapo.
Nilikuwa Nanunua Wali Wa Jero Shuleni hapo, Mchana Unapita Hivyo .... Maisha Buana... !!!
 
Sasa umejipata
 
Back
Top Bottom