Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msiwafanye wajinga huenda wanaushahidi wa kutosha jinsi walivyokuwa wakidhalilishwa kingono , na sio vizuri kumsemea mtuAnaandika Anatropia Theonest Lwehikila (Mbunge wa Viti maalumu Segerea).
_________________
Somo la bure kwa wanawake wenzangu hasa wanaokihama CHADEMA. Endeleeni na tuhuma bandia dhidi ya chama kinachojua kilipowatoa. Leo tumependeza, tunanukia, shukrani halisi zimekuwa mateke.
Semeni yote mtakayo lakini aibu zaidi ni kina mama watu wazima (tena wabunge) kusema hadharani mmedhalilishwa kingono. Nafasi ya ubunge iliwapa exposure ya kujua wapi mpeleke malalamiko yenu. Mahakama mnazijua, Ustawi wa jamii mnapajua, hata TWPG viongozi wao mnawajua. Ilikuwaje mkae kimya miaka yote 5? AIBU YENU.!
_
Hata kama ingekuwa kweli, mnasifa gani za kuendelea kuwa viongozi kama hamuwezi kujisaidia. Mtawezaje kusaidia mabinti na wanawake wengine wanaonyanyasika wapate msaada kama ninyi wenyewe mmeshindwa kupata msaada? Mmechekesha kweli.
Nawasihi acheni kujidhalilisha na kuwadhalilisha wanawake wenzenu. Acheni shutuma za kitoto. Hao wanaowaandikia hizo 'statement' wanawapotosha sana.
Jamii inategemea kuwaona mmestaarabika baada ya kumaliza Ubunge wenu wa Viti Maalumu mkijiandaa kwenda kugombea majimboni. Sasa kama mnadai mmedhalilishwa kingono na mkakaa kimya kwa miaka mitano, mtawezaje kuwasemea wananchi kero zao? Mmeshapoteza point.
Endeleeni kusema uongo iko siku mtahitajika kupeleka ushahidi mahakamani. Badilikeni nawaonya.!
Asante dada kwa ujumbe mzuri..Anaandika Anatropia Theonest Lwehikila (Mbunge wa Viti maalumu Segerea).

Labda wanamtaarifu Mbatia ili aendeleze pale Mbowe alipoachia.
Biashara ni matangazo!
Njaa zimewatoa watu utu aisee, wangeondoka tu Kama kina Slaa, na katibu mkuu kimya kuliko kusema vibaya watu waliokupa nafasi, nadhani uchaguzi huu unawapa kiwewe sana. Wamenishangaza Sana wajifunze kwa Nape alizalilisha Sana Lowasa na karma imemunyoosha kweli aliyempigania kamtupilia mbali, kanyooshewa na bastola nusu auliwe hadharani, kaenda kuomba msamaha ikulu huku ana sweat Kama Nini. Tujifunze kushukuru na kunyamaza kwa watu waliotushika mikono maishani mwetu.Ni tabia zetu ukiachana na mtu kumtangazia ubaya,mtu mzima ananyanyaswa kweli.Hadi umri huo Kama awajui haki zao na sehemu za kuziwakilisha Wana Safari ndefu.Vyama husika vipoeavo wanaoponda vyama vilivowatoa vijijini wengine hata pafyumu wamejulia kupiga wakiwa vyama vya awali.Walikuja mikono mitupu wameondoka wamechuma mamilioni.Jua hata waendako siku maslai yao yakikoma ni lzm watasema vibaya,asiye na shukrani katu hawezi kuwa na shukrani.
Kwann awakulalamika kabla?
ANRTOPIA umesema kweli.Anaandika Anatropia Theonest Lwehikila (Mbunge wa Viti maalumu Segerea).
_________________
Somo la bure kwa wanawake wenzangu hasa wanaokihama CHADEMA. Endeleeni na tuhuma bandia dhidi ya chama kinachojua kilipowatoa. Leo tumependeza, tunanukia, shukrani halisi zimekuwa mateke.
Semeni yote mtakayo lakini aibu zaidi ni kina mama watu wazima (tena wabunge) kusema hadharani mmedhalilishwa kingono. Nafasi ya ubunge iliwapa exposure ya kujua wapi mpeleke malalamiko yenu. Mahakama mnazijua, Ustawi wa jamii mnapajua, hata TWPG viongozi wao mnawajua. Ilikuwaje mkae kimya miaka yote 5? AIBU YENU.!
_
Hata kama ingekuwa kweli, mnasifa gani za kuendelea kuwa viongozi kama hamuwezi kujisaidia. Mtawezaje kusaidia mabinti na wanawake wengine wanaonyanyasika wapate msaada kama ninyi wenyewe mmeshindwa kupata msaada? Mmechekesha kweli.
Nawasihi acheni kujidhalilisha na kuwadhalilisha wanawake wenzenu. Acheni shutuma za kitoto. Hao wanaowaandikia hizo 'statement' wanawapotosha sana.
Jamii inategemea kuwaona mmestaarabika baada ya kumaliza Ubunge wenu wa Viti Maalumu mkijiandaa kwenda kugombea majimboni. Sasa kama mnadai mmedhalilishwa kingono na mkakaa kimya kwa miaka mitano, mtawezaje kuwasemea wananchi kero zao? Mmeshapoteza point.
Endeleeni kusema uongo iko siku mtahitajika kupeleka ushahidi mahakamani. Badilikeni nawaonya.!
Hata Kafulila kaondoka vizuri,maisha ni mzunguko usimtangaze ubaya bwana wako wa zamani kwa bwana mpya means nae ataogopa utamtangaza mkiachanaNjaa zimewatoa watu utu aisee, wangeondoka tu Kama kina Slaa, na katibu mkuu kimya kuliko kusema vibaya watu waliokupa nafasi, nadhani uchaguzi huu unawapa kiwewe sana. Wamenishangaza Sana wajifunze kwa Nape alizalilisha Sana Lowasa na karma imemunyoosha kweli aliyempigania kamtupilia mbali, kanyooshewa na bastola nusu auliwe hadharani, kaenda kuomba msamaha ikulu huku ana sweat Kama Nini. Tujifunze kushukuru na kunyamaza kwa watu waliotushika mikono maishani mwetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabunge wadangaji shenzi type.Bila Sasa ndio wataipata fresh
Washaoneka Ni easy kutongozwa na washazoe ile lavish style ya kibunge ,kutembela VX,kula hotelini,kuvaa designer clothes na kubeba handbag za laki 3
Sasa ndio wataachia mzigo kweli kweli
Ile heshima iliyopo inapotea kabisa
Ni Kama wamejitangaza wao kuwa "Malaya wa kisiasa"
Kwamba wako for "political hookups" Ila wasavaivu na kuimaintain standard hahaha
Daah so sad
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaandika Anatropia Theonest Lwehikila (Mbunge wa Viti maalumu Segerea).
_________________
Somo la bure kwa wanawake wenzangu hasa wanaokihama CHADEMA. Endeleeni na tuhuma bandia dhidi ya chama kinachojua kilipowatoa. Leo tumependeza, tunanukia, shukrani halisi zimekuwa mateke.
Semeni yote mtakayo lakini aibu zaidi ni kina mama watu wazima (tena wabunge) kusema hadharani mmedhalilishwa kingono. Nafasi ya ubunge iliwapa exposure ya kujua wapi mpeleke malalamiko yenu. Mahakama mnazijua, Ustawi wa jamii mnapajua, hata TWPG viongozi wao mnawajua. Ilikuwaje mkae kimya miaka yote 5? AIBU YENU.!
_
Hata kama ingekuwa kweli, mnasifa gani za kuendelea kuwa viongozi kama hamuwezi kujisaidia. Mtawezaje kusaidia mabinti na wanawake wengine wanaonyanyasika wapate msaada kama ninyi wenyewe mmeshindwa kupata msaada? Mmechekesha kweli.
Nawasihi acheni kujidhalilisha na kuwadhalilisha wanawake wenzenu. Acheni shutuma za kitoto. Hao wanaowaandikia hizo 'statement' wanawapotosha sana.
Jamii inategemea kuwaona mmestaarabika baada ya kumaliza Ubunge wenu wa Viti Maalumu mkijiandaa kwenda kugombea majimboni. Sasa kama mnadai mmedhalilishwa kingono na mkakaa kimya kwa miaka mitano, mtawezaje kuwasemea wananchi kero zao? Mmeshapoteza point.
Endeleeni kusema uongo iko siku mtahitajika kupeleka ushahidi mahakamani. Badilikeni nawaonya.!
Kafulila is matured enough wengi wa wanasiasa wako desperate hasa mwaka huu wa uchaguzi wako radhi kufanya lolote ili wakumbukwe, Kuna mwita Waitara, lijuakali si waondoke kimya tu.Hata Kafulila kaondoka vizuri,maisha ni mzunguko usimtangaze ubaya bwana wako wa zamani kwa bwana mpya means nae ataogopa utamtangaza mkiachana
Waitara bila cdm angekuwa anatembeza mayai mjini ana chuki na CDM balaa utadhani mke mwenzaKafulila is matured enough wengi wa wanasiasa wako desperate hasa mwaka huu wa uchaguzi wako radhi kufanya lolote ili wakumbukwe, Kuna mwita Waitara, lijuakali si waondoke kimya tu.
Sent using Jamii Forums mobile app