Anatropia Lwehikila awashukia wabunge waliodai kunyanyaswa kingono, asema wanajidhalilisha kutojua wapi pa kupeleka malalamiko yao

mh very sad .kuwa mwanachama wa chama flani ni hiari. sasa kwani ukitaka kuhama lazima utoe na sababu?lakini pia madai ya kunyanyaswa ki ngono tuta amin vip? je kama wali kubaliana maana wote ni watu wazima
 
Anaandika Anatropia Theonest Lwehikila (Mbunge wa Viti maalumu Segerea).
_________________
Somo la bure kwa wanawake wenzangu hasa wanaokihama CHADEMA. Endeleeni na tuhuma bandia dhidi ya chama kinachojua kilipowatoa. Leo tumependeza, tunanukia, shukrani halisi zimekuwa mateke.

Semeni yote mtakayo lakini aibu zaidi ni kina mama watu wazima (tena wabunge) kusema hadharani mmedhalilishwa kingono. Nafasi ya ubunge iliwapa exposure ya kujua wapi mpeleke malalamiko yenu. Mahakama mnazijua, Ustawi wa jamii mnapajua, hata TWPG viongozi wao mnawajua. Ilikuwaje mkae kimya miaka yote 5? AIBU YENU.!
_
Hata kama ingekuwa kweli, mnasifa gani za kuendelea kuwa viongozi kama hamuwezi kujisaidia. Mtawezaje kusaidia mabinti na wanawake wengine wanaonyanyasika wapate msaada kama ninyi wenyewe mmeshindwa kupata msaada? Mmechekesha kweli.

Nawasihi acheni kujidhalilisha na kuwadhalilisha wanawake wenzenu. Acheni shutuma za kitoto. Hao wanaowaandikia hizo 'statement' wanawapotosha sana.

Jamii inategemea kuwaona mmestaarabika baada ya kumaliza Ubunge wenu wa Viti Maalumu mkijiandaa kwenda kugombea majimboni. Sasa kama mnadai mmedhalilishwa kingono na mkakaa kimya kwa miaka mitano, mtawezaje kuwasemea wananchi kero zao? Mmeshapoteza point.

Endeleeni kusema uongo iko siku mtahitajika kupeleka ushahidi mahakamani. Badilikeni nawaonya.!
Msiwafanye wajinga huenda wanaushahidi wa kutosha jinsi walivyokuwa wakidhalilishwa kingono , na sio vizuri kumsemea mtu
 
Bila Sasa ndio wataipata fresh

Washaoneka Ni easy kutongozwa na washazoe ile lavish style ya kibunge ,kutembela VX,kula hotelini,kuvaa designer clothes na kubeba handbag za laki 3

Sasa ndio wataachia mzigo kweli kweli

Ile heshima iliyopo inapotea kabisa

Ni Kama wamejitangaza wao kuwa "Malaya wa kisiasa"

Kwamba wako for "political hookups" Ila wasavaivu na kuimaintain standard hahaha

Daah so sad

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningekuwa mm mume wa hao wanawake ningewaacha chap kwa kuwa walikuwa wanagegedwa bila kondomu na bosi wao na wamekiri hadharani kuwa walipigwa dushe for 5 years na walikaa kimya (siri)
 
Mbunge Mzima anasema alishikwa akakaa kimya..Ukimuangalia mama yule Mtu Mzima hivi kweli hawezi kujitetea au kulalamika polisi??
 
Mwanamke akitaka la kwake atafanya chochote anachodhani kitamuwezesha/msaidia, ndio maana mimi sioni jipya lolote hapo kwa waliotoa hizo tuhuma.

Iwe wanasema ukweli au uongo muhimu la kujiuliza ni kwa nini waseme hivyo na kwa nini waseme sasa? lazima kuna msukumo/uhitaji nyuma yao.

Huwa nikiwaona wale kina Dada wanaojiuza tena na wengine wamejaaliwa uzuri wa sura na maumbo. Kila ninapotamani kumuuliza ni kwa nini yupo pale na anafanya vile huwa najaribu kubashiri majibu au matusi atakayoniporomoshea iwapo nitajichanganya....pointi ya msingi ni kujua kuwa atafanya chochote kufikia anachotaka hata kama ni haramu.
 
Anaandika Anatropia Theonest Lwehikila (Mbunge wa Viti maalumu Segerea).
_________________
Somo la bure kwa wanawake wenzangu hasa wanaokihama CHADEMA. Endeleeni na tuhuma bandia dhidi ya chama kinachojua kilipowatoa. Leo tumependeza, tunanukia, shukrani halisi zimekuwa mateke.

Semeni yote mtakayo lakini aibu zaidi ni kina mama watu wazima (tena wabunge) kusema hadharani mmedhalilishwa kingono. Nafasi ya ubunge iliwapa exposure ya kujua wapi mpeleke malalamiko yenu. Mahakama mnazijua, Ustawi wa jamii mnapajua, hata TWPG viongozi wao mnawajua. Ilikuwaje mkae kimya miaka yote 5? AIBU YENU.!
_
Hata kama ingekuwa kweli, mnasifa gani za kuendelea kuwa viongozi kama hamuwezi kujisaidia. Mtawezaje kusaidia mabinti na wanawake wengine wanaonyanyasika wapate msaada kama ninyi wenyewe mmeshindwa kupata msaada? Mmechekesha kweli.

Nawasihi acheni kujidhalilisha na kuwadhalilisha wanawake wenzenu. Acheni shutuma za kitoto. Hao wanaowaandikia hizo 'statement' wanawapotosha sana.

Jamii inategemea kuwaona mmestaarabika baada ya kumaliza Ubunge wenu wa Viti Maalumu mkijiandaa kwenda kugombea majimboni. Sasa kama mnadai mmedhalilishwa kingono na mkakaa kimya kwa miaka mitano, mtawezaje kuwasemea wananchi kero zao? Mmeshapoteza point.

Endeleeni kusema uongo iko siku mtahitajika kupeleka ushahidi mahakamani. Badilikeni nawaonya.!
Asante dada kwa ujumbe mzuri..
Nilishangaa sana kusikia mbunge ana lalamika ati kanyanyaswa kingono... Aibuu sana kwa mtu mzima tena yuko kwenye chombo cha kutunga sheria anaongea upuuzi.
Cha pili nilicho shangaa ni kumuona mbunge wa Chadema ana soma kile anacho taka kukiwakilisha kwa jamii. Ni mara yangu ya kwanza kuona huu ukihiyo wa mbunge toka Chadema ana soma tena kwa kudodosa. Nikajua kabisa sio wao wameandika wanacho soma.
Hawa wabunge maslahi wana shindwa kuelewa wamefika hapo kwa sababu ya Chadema na sio kwa nguvu zao.
Tuna wasubiri waje huku mtaani waone mahali NCCR itawafikisha. Chama ambacho hakina hata wanachama laki mbili leo wana jiona wao ni star...
Halafu ni wake za watu wanaongea upuuzi.. Hii ina onyesha ni machangu doa walio bobea. Kama mbele ya kamera wanawake wenye familia wanaongea utumbo kwani watkuwa na tofauti gani kuwaita street ladies.?? Na sio waaminifu hata kwa waume zao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni tabia zetu ukiachana na mtu kumtangazia ubaya,mtu mzima ananyanyaswa kweli.Hadi umri huo Kama awajui haki zao na sehemu za kuziwakilisha Wana Safari ndefu.Vyama husika vipoeavo wanaoponda vyama vilivowatoa vijijini wengine hata pafyumu wamejulia kupiga wakiwa vyama vya awali.Walikuja mikono mitupu wameondoka wamechuma mamilioni.Jua hata waendako siku maslai yao yakikoma ni lzm watasema vibaya,asiye na shukrani katu hawezi kuwa na shukrani.
Kwann awakulalamika kabla?
 
Asiye na fadhila afadhiliki siku maslai yao yakikoma waendako wataponda tena.Katika maisha huwezi fanikiwa kwa kuponda ulipotoka
Labda wanamtaarifu Mbatia ili aendeleze pale Mbowe alipoachia.

Biashara ni matangazo!
 
Ni tabia zetu ukiachana na mtu kumtangazia ubaya,mtu mzima ananyanyaswa kweli.Hadi umri huo Kama awajui haki zao na sehemu za kuziwakilisha Wana Safari ndefu.Vyama husika vipoeavo wanaoponda vyama vilivowatoa vijijini wengine hata pafyumu wamejulia kupiga wakiwa vyama vya awali.Walikuja mikono mitupu wameondoka wamechuma mamilioni.Jua hata waendako siku maslai yao yakikoma ni lzm watasema vibaya,asiye na shukrani katu hawezi kuwa na shukrani.
Kwann awakulalamika kabla?
Njaa zimewatoa watu utu aisee, wangeondoka tu Kama kina Slaa, na katibu mkuu kimya kuliko kusema vibaya watu waliokupa nafasi, nadhani uchaguzi huu unawapa kiwewe sana. Wamenishangaza Sana wajifunze kwa Nape alizalilisha Sana Lowasa na karma imemunyoosha kweli aliyempigania kamtupilia mbali, kanyooshewa na bastola nusu auliwe hadharani, kaenda kuomba msamaha ikulu huku ana sweat Kama Nini. Tujifunze kushukuru na kunyamaza kwa watu waliotushika mikono maishani mwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaandika Anatropia Theonest Lwehikila (Mbunge wa Viti maalumu Segerea).
_________________
Somo la bure kwa wanawake wenzangu hasa wanaokihama CHADEMA. Endeleeni na tuhuma bandia dhidi ya chama kinachojua kilipowatoa. Leo tumependeza, tunanukia, shukrani halisi zimekuwa mateke.

Semeni yote mtakayo lakini aibu zaidi ni kina mama watu wazima (tena wabunge) kusema hadharani mmedhalilishwa kingono. Nafasi ya ubunge iliwapa exposure ya kujua wapi mpeleke malalamiko yenu. Mahakama mnazijua, Ustawi wa jamii mnapajua, hata TWPG viongozi wao mnawajua. Ilikuwaje mkae kimya miaka yote 5? AIBU YENU.!
_
Hata kama ingekuwa kweli, mnasifa gani za kuendelea kuwa viongozi kama hamuwezi kujisaidia. Mtawezaje kusaidia mabinti na wanawake wengine wanaonyanyasika wapate msaada kama ninyi wenyewe mmeshindwa kupata msaada? Mmechekesha kweli.

Nawasihi acheni kujidhalilisha na kuwadhalilisha wanawake wenzenu. Acheni shutuma za kitoto. Hao wanaowaandikia hizo 'statement' wanawapotosha sana.

Jamii inategemea kuwaona mmestaarabika baada ya kumaliza Ubunge wenu wa Viti Maalumu mkijiandaa kwenda kugombea majimboni. Sasa kama mnadai mmedhalilishwa kingono na mkakaa kimya kwa miaka mitano, mtawezaje kuwasemea wananchi kero zao? Mmeshapoteza point.

Endeleeni kusema uongo iko siku mtahitajika kupeleka ushahidi mahakamani. Badilikeni nawaonya.!
ANRTOPIA umesema kweli.

Kama m'bunge , tena wawili kwa ujumla wamepigwa miti na Mbowe kwa miaka 5 mfulilizo na hawakuweza kwenda hata kwa kiongozi wa wabunge wanawake bungeni kushitaki , MABINTI ZETU SHULE ZA KATA SI WATAPIGWA MITI maisha yao yote na walimu na wasiseme?
 
Ukitaka kuuwa mbwa mpe jina baya.Kama biashara ni matangazo so wanamtangazia mbatia ashikilie alipoacha mwenzake inaana wanatoa ngono ili waishi wanadanga this is stupidity how can a member of parliament unyanyaswe kingono tena chadema ambayo imetafutiwa kila baya ifutwe Ina maana walishindwa kumuona hata msajili wampe ushahidi huo wa ngono ili utumike kuifuta chadema.
 
Njaa zimewatoa watu utu aisee, wangeondoka tu Kama kina Slaa, na katibu mkuu kimya kuliko kusema vibaya watu waliokupa nafasi, nadhani uchaguzi huu unawapa kiwewe sana. Wamenishangaza Sana wajifunze kwa Nape alizalilisha Sana Lowasa na karma imemunyoosha kweli aliyempigania kamtupilia mbali, kanyooshewa na bastola nusu auliwe hadharani, kaenda kuomba msamaha ikulu huku ana sweat Kama Nini. Tujifunze kushukuru na kunyamaza kwa watu waliotushika mikono maishani mwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Kafulila kaondoka vizuri,maisha ni mzunguko usimtangaze ubaya bwana wako wa zamani kwa bwana mpya means nae ataogopa utamtangaza mkiachana
 
Bila Sasa ndio wataipata fresh

Washaoneka Ni easy kutongozwa na washazoe ile lavish style ya kibunge ,kutembela VX,kula hotelini,kuvaa designer clothes na kubeba handbag za laki 3

Sasa ndio wataachia mzigo kweli kweli

Ile heshima iliyopo inapotea kabisa

Ni Kama wamejitangaza wao kuwa "Malaya wa kisiasa"

Kwamba wako for "political hookups" Ila wasavaivu na kuimaintain standard hahaha

Daah so sad

Sent using Jamii Forums mobile app
Wabunge wadangaji shenzi type.
 
Anaandika Anatropia Theonest Lwehikila (Mbunge wa Viti maalumu Segerea).
_________________
Somo la bure kwa wanawake wenzangu hasa wanaokihama CHADEMA. Endeleeni na tuhuma bandia dhidi ya chama kinachojua kilipowatoa. Leo tumependeza, tunanukia, shukrani halisi zimekuwa mateke.

Semeni yote mtakayo lakini aibu zaidi ni kina mama watu wazima (tena wabunge) kusema hadharani mmedhalilishwa kingono. Nafasi ya ubunge iliwapa exposure ya kujua wapi mpeleke malalamiko yenu. Mahakama mnazijua, Ustawi wa jamii mnapajua, hata TWPG viongozi wao mnawajua. Ilikuwaje mkae kimya miaka yote 5? AIBU YENU.!
_
Hata kama ingekuwa kweli, mnasifa gani za kuendelea kuwa viongozi kama hamuwezi kujisaidia. Mtawezaje kusaidia mabinti na wanawake wengine wanaonyanyasika wapate msaada kama ninyi wenyewe mmeshindwa kupata msaada? Mmechekesha kweli.

Nawasihi acheni kujidhalilisha na kuwadhalilisha wanawake wenzenu. Acheni shutuma za kitoto. Hao wanaowaandikia hizo 'statement' wanawapotosha sana.

Jamii inategemea kuwaona mmestaarabika baada ya kumaliza Ubunge wenu wa Viti Maalumu mkijiandaa kwenda kugombea majimboni. Sasa kama mnadai mmedhalilishwa kingono na mkakaa kimya kwa miaka mitano, mtawezaje kuwasemea wananchi kero zao? Mmeshapoteza point.

Endeleeni kusema uongo iko siku mtahitajika kupeleka ushahidi mahakamani. Badilikeni nawaonya.!

Uhuru wa mawazo remember there is always may be, but as well as side B, don't rule out, ni haki yao na uhuru wao nchi za mbele huko ni kawaida sana mmesahau ya Clinton, ya Trump, tusijifungie kufikra kisa ushabiki au ufuasi ama mlengo, ama mapenzi, Sifa kuu ya kupata viti maalumu malalamiko yamehusisha tuhuma gani?
 
Hata Kafulila kaondoka vizuri,maisha ni mzunguko usimtangaze ubaya bwana wako wa zamani kwa bwana mpya means nae ataogopa utamtangaza mkiachana
Kafulila is matured enough wengi wa wanasiasa wako desperate hasa mwaka huu wa uchaguzi wako radhi kufanya lolote ili wakumbukwe, Kuna mwita Waitara, lijuakali si waondoke kimya tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kafulila is matured enough wengi wa wanasiasa wako desperate hasa mwaka huu wa uchaguzi wako radhi kufanya lolote ili wakumbukwe, Kuna mwita Waitara, lijuakali si waondoke kimya tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Waitara bila cdm angekuwa anatembeza mayai mjini ana chuki na CDM balaa utadhani mke mwenza
 
Back
Top Bottom