Anayefahamu kijijini wanakouzwa mashamba Kati ya laki 2 Hadi 5 anijuze popote Tanzania

Kuna mtu amesema hapo juu aina ya gari inayowezafika huko
 
Kuwa makini kuna jamaa tumemzika kama miez 2 imepita aling'watwa na nyoka shambani kwake, kuna sehemu zinatisha sana japo kama mpambanaji usikate tamaa
Aliumwaje? Hakuvaa viatu, sivyo?
 
Nenda handeni_kilindi huko mapori ya kutosha.

Ukiwa mtulivu na mdadisi na kuongea vizuri na wenyeviti wa vitongoji heka mmoja utapata hata chini ya laki.

Hii ni kweli kabisa. Mimi ni mwenyeji wa Handeni, mwaka 2017 nilinunua kiwanja kwenye mradi wa viwanja pale Handeni mjini.

Ardhi ipo nyingi kwaajili ya kuishi pamoja na mashamba, na bei ni nzuri.
 
Kuwa makini kuna jamaa tumemzika kama miez 2 imepita aling'watwa na nyoka shambani kwake, kuna sehemu zinatisha sana japo kama mpambanaji usikate tamaa
Mkuu wanafia wangapi mjini kwa kung'atwa na bodaboda? Kifo popote.
 
Bei gani unauza? lipo kitongoji gani hapo chamgoi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…