Anayefahamu kijijini wanakouzwa mashamba Kati ya laki 2 Hadi 5 anijuze popote Tanzania

Anayefahamu kijijini wanakouzwa mashamba Kati ya laki 2 Hadi 5 anijuze popote Tanzania

Mkuu karibu Morogoro Mikese, shamba lipo ukubwa hekari 140, shamba lipo KM 7 kutoka ilipo mizani ya mikese morogoro, barabara inapitika muda wote, shamba limesafishwa na linalimika kwa trekta
Bei kwa Ekari ikoje mkuu
 
Nitafute rukwa wilaya ya kalambo kuna heka 150 special kwa mahindi, maharage na mazao mengine bei ni 100000 per heka weka ya udalili 50000 per heka
Punguza wizi, ulipwe kila heka elfu 50 ardhi ni ya kwako?
 
Mkuu karibu Morogoro Mikese, shamba lipo ukubwa hekari 140, shamba lipo KM 7 kutoka ilipo mizani ya mikese morogoro, barabara inapitika muda wote, shamba limesafishwa na linalimika kwa trekta
Linafaa kwa kilimo gani?
 
Karibu nachingwea ardhi ipo ,Kuna mazo matatu makuu na yote ni Hela tupu
1.Ufuta .huu huvunwa kati ya mwezi wa nne hadi sita,ni Hela tupu
2.Mbaazi hizi huvunwa kati ya mwezi wa sita hadi nane,hii ni Hela nyingine na gharama za uzalishaji ni ndogo mno
3.Korosho.Hili ndiyo zao mama .nadhani hii ni Hela kila mtu anajua.utaanza kuvuna baada ya miaka mitatu,karibu
 
ulipata mkuu, ningekuunganisha na bro wangu dalali yuko Songea ungepata hadi nakadhalika..
 
Nenda handeni_kilindi huko mapori ya kutosha.

Ukiwa mtulivu na mdadisi na kuongea vizuri na wenyeviti wa vitongoji heka mmoja utapata hata chini ya laki.
Utawakoma wamasai na ngombe wao!
 
Back
Top Bottom