Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
kwa hio wanawake na mabalozi ndio wanakwamisha upatikanaji wa katiba mpya na Tume huru ya kweli ya Uchaguzi pia ndio wanaowakimbia wapinzani wanaporudisha fomu zao na pia kutowatangaza wapinzani kuwa wameshinda uchaguzi na pia kuwazuia wasifuatilie mwenendo wa uchaguzi vituoni!Mara nyingi huenda sieleweki kwenye baadhi ya misimamo ninayoichukua hususani kwenye mambo ya kitaifa ya kisiasa. Mathalani mambo yanayolalamikiwa na wapinzani wa CCM.
Uzoefu wangu wa siasa za CCM, kwa yale niliyoyaona kwa macho, CCM haitegemei siasa za majukwaani hata kidogo kushinda uchaguzi. Ushindi wa CCM huwa unategemea vitu viwili vikubwa, UWT na Mabalozi.
Kwamsiofahamu, akina mama kupitia UWT huwa wanapitiana nyumba kwa nyumba kwenda kuwapigia kura wagombea wa CCM. Kwenye mchakato huu, kinachowaunganisha ni uwenzetu, hawashauriki, hawaambiliki kwenye lao. Kwakifupi ni kuwa, waweza kuwa mgombea, na mkeo akasombwa na wenzake kupigia kura CCM.
Nguzo ya pili ni hawa mabalozi. Yes, hawa mabalozi wa nyumba kumi kumi. Hawa watu kwa wananchi wa kawaida huwa wameaminiwa kuwa ndio viongozi wao wa karibu zaidi. As a matter of fact hawa ndio mashahidi wa mauziano ya ardhi, hawa ndio wasuluhishi wa migogoro ya ndoa, hawa ndio waratibu wa ulinzi na usalama kwenye maeneo yao. Wakati wa uchaguzi, mabalozi ndio wahamasishaji wakuu wa upigaji kura. Ahsubuhi ya siku ya kupiga kura, balozi hupita nyumba zote anazoamini ni za wana CCM, anaongozana nao kwenda kukipigia kura chama chao.
Kwa wanao lijua hili, nielezeni, upinzani wa Tanzania, una miundombinu gani ya kuwasaidia kushinda chaguzi zaidi ya malalamiko ya kuibiwa kura ambazo hatuna hata uhakika kama kweli huwa zinaibiwa?
Hii incui inawatu wehu sanaMara nyingi huenda sieleweki kwenye baadhi ya misimamo ninayoichukua hususani kwenye mambo ya kitaifa ya kisiasa. Mathalani mambo yanayolalamikiwa na wapinzani wa CCM.
Uzoefu wangu wa siasa za CCM, kwa yale niliyoyaona kwa macho, CCM haitegemei siasa za majukwaani hata kidogo kushinda uchaguzi. Ushindi wa CCM huwa unategemea vitu viwili vikubwa, UWT na Mabalozi.
Kwamsiofahamu, akina mama kupitia UWT huwa wanapitiana nyumba kwa nyumba kwenda kuwapigia kura wagombea wa CCM. Kwenye mchakato huu, kinachowaunganisha ni uwenzetu, hawashauriki, hawaambiliki kwenye lao. Kwakifupi ni kuwa, waweza kuwa mgombea, na mkeo akasombwa na wenzake kupigia kura CCM.
Nguzo ya pili ni hawa mabalozi. Yes, hawa mabalozi wa nyumba kumi kumi. Hawa watu kwa wananchi wa kawaida huwa wameaminiwa kuwa ndio viongozi wao wa karibu zaidi. As a matter of fact hawa ndio mashahidi wa mauziano ya ardhi, hawa ndio wasuluhishi wa migogoro ya ndoa, hawa ndio waratibu wa ulinzi na usalama kwenye maeneo yao. Wakati wa uchaguzi, mabalozi ndio wahamasishaji wakuu wa upigaji kura. Ahsubuhi ya siku ya kupiga kura, balozi hupita nyumba zote anazoamini ni za wana CCM, anaongozana nao kwenda kukipigia kura chama chao.
Kwa wanao lijua hili, nielezeni, upinzani wa Tanzania, una miundombinu gani ya kuwasaidia kushinda chaguzi zaidi ya malalamiko ya kuibiwa kura ambazo hatuna hata uhakika kama kweli huwa zinaibiwa?
The guy has got Pumbuji Holder Deficit!,Wewe ndio PHD HOLDER? ama ni Daktari kama Manyaunyau au Profesa Vulata? Hauna akili hata moja. Nguvu ya CCM ni Polisi na TISS waweke pembeni hao uone.
Mara nyingi huenda sieleweki kwenye baadhi ya misimamo ninayoichukua hususani kwenye mambo ya kitaifa ya kisiasa. Mathalani mambo yanayolalamikiwa na wapinzani wa CCM.
Uzoefu wangu wa siasa za CCM, kwa yale niliyoyaona kwa macho, CCM haitegemei siasa za majukwaani hata kidogo kushinda uchaguzi. Ushindi wa CCM huwa unategemea vitu viwili vikubwa, UWT na Mabalozi.
Kwamsiofahamu, akina mama kupitia UWT huwa wanapitiana nyumba kwa nyumba kwenda kuwapigia kura wagombea wa CCM. Kwenye mchakato huu, kinachowaunganisha ni uwenzetu, hawashauriki, hawaambiliki kwenye lao. Kwakifupi ni kuwa, waweza kuwa mgombea, na mkeo akasombwa na wenzake kupigia kura CCM.
Nguzo ya pili ni hawa mabalozi. Yes, hawa mabalozi wa nyumba kumi kumi. Hawa watu kwa wananchi wa kawaida huwa wameaminiwa kuwa ndio viongozi wao wa karibu zaidi. As a matter of fact hawa ndio mashahidi wa mauziano ya ardhi, hawa ndio wasuluhishi wa migogoro ya ndoa, hawa ndio waratibu wa ulinzi na usalama kwenye maeneo yao. Wakati wa uchaguzi, mabalozi ndio wahamasishaji wakuu wa upigaji kura. Ahsubuhi ya siku ya kupiga kura, balozi hupita nyumba zote anazoamini ni za wana CCM, anaongozana nao kwenda kukipigia kura chama chao.
Kwa wanao lijua hili, nielezeni, upinzani wa Tanzania, una miundombinu gani ya kuwasaidia kushinda chaguzi zaidi ya malalamiko ya kuibiwa kura ambazo hatuna hata uhakika kama kweli huwa zinaibiwa?
Nikurekebishe sema anaye ijua nguvu ya vyombo vya dola hasa jesgi la polisi, tume na mahakama na si CCM, bila vyombo vya dilola CCM ni mdebwedoMara nyingi huenda sieleweki kwenye baadhi ya misimamo ninayoichukua hususani kwenye mambo ya kitaifa ya kisiasa. Mathalani mambo yanayolalamikiwa na wapinzani wa CCM.
Uzoefu wangu wa siasa za CCM, kwa yale niliyoyaona kwa macho, CCM haitegemei siasa za majukwaani hata kidogo kushinda uchaguzi. Ushindi wa CCM huwa unategemea vitu viwili vikubwa, UWT na Mabalozi.
Kwamsiofahamu, akina mama kupitia UWT huwa wanapitiana nyumba kwa nyumba kwenda kuwapigia kura wagombea wa CCM. Kwenye mchakato huu, kinachowaunganisha ni uwenzetu, hawashauriki, hawaambiliki kwenye lao. Kwakifupi ni kuwa, waweza kuwa mgombea, na mkeo akasombwa na wenzake kupigia kura CCM.
Nguzo ya pili ni hawa mabalozi. Yes, hawa mabalozi wa nyumba kumi kumi. Hawa watu kwa wananchi wa kawaida huwa wameaminiwa kuwa ndio viongozi wao wa karibu zaidi. As a matter of fact hawa ndio mashahidi wa mauziano ya ardhi, hawa ndio wasuluhishi wa migogoro ya ndoa, hawa ndio waratibu wa ulinzi na usalama kwenye maeneo yao. Wakati wa uchaguzi, mabalozi ndio wahamasishaji wakuu wa upigaji kura. Ahsubuhi ya siku ya kupiga kura, balozi hupita nyumba zote anazoamini ni za wana CCM, anaongozana nao kwenda kukipigia kura chama chao.
Kwa wanao lijua hili, nielezeni, upinzani wa Tanzania, una miundombinu gani ya kuwasaidia kushinda chaguzi zaidi ya malalamiko ya kuibiwa kura ambazo hatuna hata uhakika kama kweli huwa zinaibiwa?
Naunga mkono hoja, ndio maana huoni wala husikii mtu yeyote wa Chama, akishughulika nae kwasababu sisi kazi tuliisha maliza kitambo Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything! tarehe 29 ni kuthibitisha tuu!Uzoefu wangu wa siasa za CCM, kwa yale niliyoyaona kwa macho, CCM haitegemei siasa za majukwaani hata kidogo kushinda uchaguzi. Ushindi wa CCM huwa unategemea vitu viwili vikubwa, UWT na Mabalozi.
Tuambie namna ambavyo TISS na Polisi wanaongeza kura kwenye box la kuraWewe ndio PHD HOLDER? ama ni Daktari kama Manyaunyau au Profesa Vulata? Hauna akili hata moja. Nguvu ya CCM ni Polisi na TISS waweke pembeni hao uone.
Wewe ndiye mjinga kuliko huyo unayemkejeli. Nguvu ya CCM ni uwepo huko kwenye kata na mashina, mpaka huko kuna mikutano inayofanyika kila mwezi na watu wanahudhuria kila unapoitishwa.Wewe ndio PHD HOLDER? ama ni Daktari kama Manyaunyau au Profesa Vulata? Hauna akili hata moja. Nguvu ya CCM ni Polisi na TISS waweke pembeni hao uone.
Futa hiyo initial ya Dr!Mara nyingi huenda sieleweki kwenye baadhi ya misimamo ninayoichukua hususani kwenye mambo ya kitaifa ya kisiasa. Mathalani mambo yanayolalamikiwa na wapinzani wa CCM.