cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
😂😂😂😂Wewe ndio PHD HOLDER? ama ni Daktari kama Manyaunyau au Profesa Vulata? Hauna akili hata moja. Nguvu ya CCM ni Polisi na TISS waweke pembeni hao uone.

HaswaaaaHoja ulizoeleza za vijijini huko nako aslimia ndogo sana.Ujanja wa CCM ni dola kwa mujibu wa Dr.Bashiru
Labda akawadanganye wajinga wenzake kule kijijini kwaoSiku hizi hata vijijini kwenyewe wamesha amka, hawana hayo mambo.
Siku ya uchaguzi wanakua buzzy na shughuri zao za kila siku.
Mtaji wa CCM ni NEC, NIDA, POLISI. na wakurugenzi watangaza matokeo.
Ni tapeli fulani linajiita DrFuta hiyo initial ya Dr!
Wewe ni taletale uliechangamka!
Sure imekua ya Kipumbavu sanaNyuuzi kama hii ndizo zimenifanya JF ya sasa niione kama Facebook.
Hakuna asiyejua kuwa CCM inategemea tumefake ya uchagazu na polisiSo kweli, kwani wanawake wote TZ ni uwt? Sema ukerli nguzo ya ushindi wa ccm ni mapolisi, usalama taifa, tume ya uchaguzi na like li waya nida-ccm- tume
Ahsante comrade kwa kumjibu. Humu Jamii Forum watu wanaishi kwa mihemko, ukiwaeleza ukweli wanakasirika. Mm uchaguzi wa kwanza kupiga kura Dar es salaam ni 2015, toka wakati huo mpaka sasa, kila siku ya kupiga kura nimegongewa na balozi ahsubuhi.Wewe ndiye mjinga kuliko huyo unayemkejeli. Nguvu ya CCM ni uwepo huko kwenye kata na mashina, mpaka huko kuna mikutano inayofanyika kila mwezi na watu wanahudhuria kila unapoitishwa.
Siku CHADEMA na vyama vingine vikijua umuhimu wa kushusha siasa zao mpaka ngazi ya kata na shina unaweza kuwa mwanzo wa mwisho wa nguvu za CCM.
Hapo sasa.Labda akawadanganye wajinga wenzake kule kijijini kwao
Polepole alimaanisha kama una NIDA huna haja ya kupiga kura.✍️📌Mara nyingi huenda sieleweki kwenye baadhi ya misimamo ninayoichukua hususani kwenye mambo ya kitaifa ya kisiasa. Mathalani mambo yanayolalamikiwa na wapinzani wa CCM.
Uzoefu wangu wa siasa za CCM, kwa yale niliyoyaona kwa macho, CCM haitegemei siasa za majukwaani hata kidogo kushinda uchaguzi. Ushindi wa CCM huwa unategemea vitu viwili vikubwa, UWT na Mabalozi.
Kwamsiofahamu, akina mama kupitia UWT huwa wanapitiana nyumba kwa nyumba kwenda kuwapigia kura wagombea wa CCM. Kwenye mchakato huu, kinachowaunganisha ni uwenzetu, hawashauriki, hawaambiliki kwenye lao. Kwakifupi ni kuwa, waweza kuwa mgombea, na mkeo akasombwa na wenzake kupigia kura CCM.
Nguzo ya pili ni hawa mabalozi. Yes, hawa mabalozi wa nyumba kumi kumi. Hawa watu kwa wananchi wa kawaida huwa wameaminiwa kuwa ndio viongozi wao wa karibu zaidi. As a matter of fact hawa ndio mashahidi wa mauziano ya ardhi, hawa ndio wasuluhishi wa migogoro ya ndoa, hawa ndio waratibu wa ulinzi na usalama kwenye maeneo yao. Wakati wa uchaguzi, mabalozi ndio wahamasishaji wakuu wa upigaji kura. Ahsubuhi ya siku ya kupiga kura, balozi hupita nyumba zote anazoamini ni za wana CCM, anaongozana nao kwenda kukipigia kura chama chao.
Kwa wanao lijua hili, nielezeni, upinzani wa Tanzania, una miundombinu gani ya kuwasaidia kushinda chaguzi zaidi ya malalamiko ya kuibiwa kura ambazo hatuna hata uhakika kama kweli huwa zinaibiwa?
100%✓Siku hizi hata vijijini kwenyewe wamesha amka, hawana hayo mambo.
Siku ya uchaguzi wanakua buzzy na shughuri zao za kila siku.
Mtaji wa CCM ni NEC, NIDA, POLISI. na wakurugenzi watangaza matokeo.
Ushindi wa CCM hutegemea wizi wa kura unaoratibiwa na vyombo vya dola TISS, INEC na Polisi.Mara nyingi huenda sieleweki kwenye baadhi ya misimamo ninayoichukua hususani kwenye mambo ya kitaifa ya kisiasa. Mathalani mambo yanayolalamikiwa na wapinzani wa CCM.
Uzoefu wangu wa siasa za CCM, kwa yale niliyoyaona kwa macho, CCM haitegemei siasa za majukwaani hata kidogo kushinda uchaguzi. Ushindi wa CCM huwa unategemea vitu viwili vikubwa, UWT na Mabalozi.
Kwamsiofahamu, akina mama kupitia UWT huwa wanapitiana nyumba kwa nyumba kwenda kuwapigia kura wagombea wa CCM. Kwenye mchakato huu, kinachowaunganisha ni uwenzetu, hawashauriki, hawaambiliki kwenye lao. Kwakifupi ni kuwa, waweza kuwa mgombea, na mkeo akasombwa na wenzake kupigia kura CCM.
Nguzo ya pili ni hawa mabalozi. Yes, hawa mabalozi wa nyumba kumi kumi. Hawa watu kwa wananchi wa kawaida huwa wameaminiwa kuwa ndio viongozi wao wa karibu zaidi. As a matter of fact hawa ndio mashahidi wa mauziano ya ardhi, hawa ndio wasuluhishi wa migogoro ya ndoa, hawa ndio waratibu wa ulinzi na usalama kwenye maeneo yao. Wakati wa uchaguzi, mabalozi ndio wahamasishaji wakuu wa upigaji kura. Ahsubuhi ya siku ya kupiga kura, balozi hupita nyumba zote anazoamini ni za wana CCM, anaongozana nao kwenda kukipigia kura chama chao.
Kwa wanao lijua hili, nielezeni, upinzani wa Tanzania, una miundombinu gani ya kuwasaidia kushinda chaguzi zaidi ya malalamiko ya kuibiwa kura ambazo hatuna hata uhakika kama kweli huwa zinaibiwa?
CCM wapo mpaka kwenye mashina huko vijijini, wanafanya mikutano na wananchi kila siku. Vigumu sana kuwashinda ikiwa CHADEMA na vyama vingine hawana uwezo wa kufika Tanzania nzima na kufanya siasa haswa katika miaka ile isiyokuwa na uchaguzi.Acha ujinga, CCM inategemea tume fake na polisi
Huu ujinga ni wa kusomea au umezaliwa nao?Mara nyingi huenda sieleweki kwenye baadhi ya misimamo ninayoichukua hususani kwenye mambo ya kitaifa ya kisiasa. Mathalani mambo yanayolalamikiwa na wapinzani wa CCM.
Uzoefu wangu wa siasa za CCM, kwa yale niliyoyaona kwa macho, CCM haitegemei siasa za majukwaani hata kidogo kushinda uchaguzi. Ushindi wa CCM huwa unategemea vitu viwili vikubwa, UWT na Mabalozi.
Kwamsiofahamu, akina mama kupitia UWT huwa wanapitiana nyumba kwa nyumba kwenda kuwapigia kura wagombea wa CCM. Kwenye mchakato huu, kinachowaunganisha ni uwenzetu, hawashauriki, hawaambiliki kwenye lao. Kwakifupi ni kuwa, waweza kuwa mgombea, na mkeo akasombwa na wenzake kupigia kura CCM.
Nguzo ya pili ni hawa mabalozi. Yes, hawa mabalozi wa nyumba kumi kumi. Hawa watu kwa wananchi wa kawaida huwa wameaminiwa kuwa ndio viongozi wao wa karibu zaidi. As a matter of fact hawa ndio mashahidi wa mauziano ya ardhi, hawa ndio wasuluhishi wa migogoro ya ndoa, hawa ndio waratibu wa ulinzi na usalama kwenye maeneo yao. Wakati wa uchaguzi, mabalozi ndio wahamasishaji wakuu wa upigaji kura. Ahsubuhi ya siku ya kupiga kura, balozi hupita nyumba zote anazoamini ni za wana CCM, anaongozana nao kwenda kukipigia kura chama chao.
Kwa wanao lijua hili, nielezeni, upinzani wa Tanzania, una miundombinu gani ya kuwasaidia kushinda chaguzi zaidi ya malalamiko ya kuibiwa kura ambazo hatuna hata uhakika kama kweli huwa zinaibiwa?
Sasa hofu ya nini kufanya reforms 😳🤣Mara nyingi huenda sieleweki kwenye baadhi ya misimamo ninayoichukua hususani kwenye mambo ya kitaifa ya kisiasa. Mathalani mambo yanayolalamikiwa na wapinzani wa CCM.
Uzoefu wangu wa siasa za CCM, kwa yale niliyoyaona kwa macho, CCM haitegemei siasa za majukwaani hata kidogo kushinda uchaguzi. Ushindi wa CCM huwa unategemea vitu viwili vikubwa, UWT na Mabalozi.
Kwamsiofahamu, akina mama kupitia UWT huwa wanapitiana nyumba kwa nyumba kwenda kuwapigia kura wagombea wa CCM. Kwenye mchakato huu, kinachowaunganisha ni uwenzetu, hawashauriki, hawaambiliki kwenye lao. Kwakifupi ni kuwa, waweza kuwa mgombea, na mkeo akasombwa na wenzake kupigia kura CCM.
Nguzo ya pili ni hawa mabalozi. Yes, hawa mabalozi wa nyumba kumi kumi. Hawa watu kwa wananchi wa kawaida huwa wameaminiwa kuwa ndio viongozi wao wa karibu zaidi. As a matter of fact hawa ndio mashahidi wa mauziano ya ardhi, hawa ndio wasuluhishi wa migogoro ya ndoa, hawa ndio waratibu wa ulinzi na usalama kwenye maeneo yao. Wakati wa uchaguzi, mabalozi ndio wahamasishaji wakuu wa upigaji kura. Ahsubuhi ya siku ya kupiga kura, balozi hupita nyumba zote anazoamini ni za wana CCM, anaongozana nao kwenda kukipigia kura chama chao.
Kwa wanao lijua hili, nielezeni, upinzani wa Tanzania, una miundombinu gani ya kuwasaidia kushinda chaguzi zaidi ya malalamiko ya kuibiwa kura ambazo hatuna hata uhakika kama kweli huwa zinaibiwa?
Kwani Mheshimiwa Polepole anasemaje Bandugu ??!CCM haina nguvu yoyote zaidi ya kutegemea vyombo vya dola kama tukiendelea na huu Upumbavu wa kutegemea vyombo vya dola iko siku vitatuchoka na Utakua ndo mwisho tuache kutegemea vyombo vya dola huu ni upumbavu tutafute watu wenyewe ushawishi wa kujenga hoja na kutatua kero za mwananchi lakini tukiendelea na kutegemea vyombo vya dola iko siku hata miaka 100 mbele vyombo vya dola vitachoka