Anayeijua nguvu ya CCM, Hawezi kupoteza muda kujibizana mitandaoni

Wewe ndio PHD HOLDER? ama ni Daktari kama Manyaunyau au Profesa Vulata? Hauna akili hata moja. Nguvu ya CCM ni Polisi na TISS waweke pembeni hao uone.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
CCM haina nguvu yoyote zaidi ya kutegemea vyombo vya dola kama tukiendelea na huu Upumbavu wa kutegemea vyombo vya dola iko siku vitatuchoka na Utakua ndo mwisho tuache kutegemea vyombo vya dola huu ni upumbavu tutafute watu wenyewe ushawishi wa kujenga hoja na kutatua kero za mwananchi lakini tukiendelea na kutegemea vyombo vya dola iko siku hata miaka 100 mbele vyombo vya dola vitachoka
 
Siku hizi hata vijijini kwenyewe wamesha amka, hawana hayo mambo.
Siku ya uchaguzi wanakua buzzy na shughuri zao za kila siku.

Mtaji wa CCM ni NEC, NIDA, POLISI. na wakurugenzi watangaza matokeo.
 
Siku hizi hata vijijini kwenyewe wamesha amka, hawana hayo mambo.
Siku ya uchaguzi wanakua buzzy na shughuri zao za kila siku.

Mtaji wa CCM ni NEC, NIDA, POLISI. na wakurugenzi watangaza matokeo.
Labda akawadanganye wajinga wenzake kule kijijini kwao
 
Ahsante comrade kwa kumjibu. Humu Jamii Forum watu wanaishi kwa mihemko, ukiwaeleza ukweli wanakasirika. Mm uchaguzi wa kwanza kupiga kura Dar es salaam ni 2015, toka wakati huo mpaka sasa, kila siku ya kupiga kura nimegongewa na balozi ahsubuhi.
Wengi wetu tunatukana humu mitandaoni, tunatukana tusivyovijua.
 
Polepole alimaanisha kama una NIDA huna haja ya kupiga kura.βœοΈπŸ“Œ
 
Yaani kichwa cha habari tu nimeelewa,
Mimi siwezi kubishana sio mitandaoni tu hata popote pale, ila kama stori tu tutazipiga haswa πŸ‘Š
 
Ushindi wa CCM hutegemea wizi wa kura unaoratibiwa na vyombo vya dola TISS, INEC na Polisi.
 
Acha ujinga, CCM inategemea tume fake na polisi
CCM wapo mpaka kwenye mashina huko vijijini, wanafanya mikutano na wananchi kila siku. Vigumu sana kuwashinda ikiwa CHADEMA na vyama vingine hawana uwezo wa kufika Tanzania nzima na kufanya siasa haswa katika miaka ile isiyokuwa na uchaguzi.

Kukuza mtandao wa vyama vya siasa itakuwa njia sahihi ya kuwa na vyama vyenye kuweza kupambana na CCM na kuitoa madarakani. Kusema wanaiba kura ni sawa na kukata tawi la mti wakati shina bado lipo.
 
Huu ujinga ni wa kusomea au umezaliwa nao?
 
Reforms ndo zimekuja kuiacha uchi CCM kama kweli tunakubalika tumeshidwa kufanya reforms ni aibu kila mwenye akili naw anajua tunategemea Vyombo vya dola sasa hivi Mwenyekiti wa chama anashindana Mtagazaji wa Chanel 10 Salumu mwalimu kwenye siasa hana hata miaka kumi Magufuli alishindana na Lowassa na Lissu baada ya kwenda mbele tunarudi nyuma aibu sana hii CCM bado tunaweza kujisahihisha
 
Sasa hofu ya nini kufanya reforms 😳🀣
Toa ndani Lissu fanya reforms anazozidai kisha Ngoma ianze !
Tusiandikie mate na wino upo πŸ˜³πŸ€£πŸ™Œ
Au Polepole anasemaje ???!! πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ€·πŸΏβ€β™‚οΈ
 
Kwani Mheshimiwa Polepole anasemaje Bandugu ??!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…