Anayejua dawa za asili kutibu tatizo la kukosa usingizi (insomnia) anisaidie nateseka

Anayejua dawa za asili kutibu tatizo la kukosa usingizi (insomnia) anisaidie nateseka

Sijui kama nina msongo wa mawazo ila Kuna kipindi Cha miaka mingi nyuma niliwahi kupitia stress nyingi,miaka33,kilo 59kg,nalala peke angu,saa tatu
Umekua na tatizo la kukosa usingizi kwa muda gani mpaka sasa?
Je, unatumia kahawa, sigara, bangi ama pombe?
Je, ni mtu wa mazoezi? kama ndio hua unafanya kila siku? muda gani?
Je, hua unalala mchana?

Tutaendelea
 
Miaka7,situmii kahawa,pombe,bangi,sigara,mm sio mtu wa mazoezi,silali
 
Je hua hulali kabisa au unalala kwa masaa machache? Masaa mangapi?
Ukiwa unakosa usingizi hua unachezea simu/computer au unaangalia TV?
Hua unasoma Vitabu usiku?
Hii ni muhimu, niambie mlo wako kabla hujalala
Kuna siku silali kabisa ata sekunde ,siku zingne nalala masaa 2 au chini,huwa nachezea simu
 
Back
Top Bottom