TIASSA
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 2,926
- 3,530
1. Mazoezi
2. Kula mapema hata masaa 3 kabla ya kulala
3. Kunywa maji hata lita3 Kila siku
4. Relax, baada ya kulala na kuhakikisha chumba kina utulivu bila mwanga wala sauti, Fanya hivi, hakikisha baada ya kufunga macho hakikisha vile vigololi vya macho havichezi, usigeukegeuke kitandani hata ukisikia panapo washa usijikune, Anza kulegeza mwili kwanzia kwenye unyayo, magoti, mpaka kichwani au anzia kichwani kushuka chini.