stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Kama wewe ni mkristu,jenga tabia ya kusoma Biblia unapokuwa kitandani na kulitafakari neno,utapitiwa na usingizi na hata ukishtuka endelea kusoma mpk usingizi uje tena, fanya hii iwe ni utaratibu wako.Usitumie Biblia ya hardcopy maana hii itakulazimu uwashe taa na kusoma,weka app ya Biblia kwenye simu na uitumie,hakikisha pia unapoamua kwenda kulala,zima data kwenye simu yako,usisome chochote kwenye simu zaidi ya neno,utanishukuru siku moja,mimi nilikua muhanga wa hiyo shida,njia hii ilinisaidia sana mpk sasa tatizo limeisha kabisa.Unaweza kuhisi ni mambo ya kawaida,hizo ni roho za shetani zimeweka kituo kwako,na lengo ni kukupa mateso....