Anayejua dawa za asili kutibu tatizo la kukosa usingizi (insomnia) anisaidie nateseka

Habari watanzania wenzangu naombeni njia mbadala za kupona hii changamoto ninayoipitia ya kukosa usingizi
Massage inafanya vizuri zaidi anzia vidoleni hadi kichwani massage kila sehemu ya mwili kikamilifu kasoro capital City
 
Habari watanzania wenzangu naombeni njia mbadala za kupona hii changamoto ninayoipitia ya kukosa usingizi

Pole sana.

Ni vyema ukajichunguza ili kubaini chanzo cha tatizo hilo ili kulishughulikia. Kwa hiyo ni muhimu ukafika hospital uonane na daktari ili akufanyie uchunguzi zaidi.

Kila la kheri.
 
Nimefanya nimemtumia dawa miaka mingi tatizo likazidi nikawa addicted na sleeping pills mpaka nikaacha now am drug free 2 years
 
Back
Top Bottom