Mungu ni upendo
Member
- Nov 26, 2024
- 27
- 36
- Thread starter
-
- #21
Usingizi unaathiri your overall performance at work kama hulali vizuri ufanisi ni zerousingizi hauna faida yoyote ya maana katika maisha...
fanya kazi sana, kesha sana ukifanya kazi...
Massage inafanya vizuri zaidi anzia vidoleni hadi kichwani massage kila sehemu ya mwili kikamilifu kasoro capital CityHabari watanzania wenzangu naombeni njia mbadala za kupona hii changamoto ninayoipitia ya kukosa usingizi
Tafutaà demu mkaliKuna kipindi nilifanyia ivo ila haikutibu tatizo
Aya mzeeTafutaà demu mkali
Au aende sehemu tulivu mbali na mji ikiwezekanaHapo hakikisha unefunga milango , utalala fofofo
AyaTafutaà demu mkali
Hyo hamu unatoka wp kama hujalalaHivi inawezekana mwanaume kukosa usingizi baada ya kupiga show?
Yanakuathiri vipi wakati hauna usingizi?Usingizi unaathiri your overall performance at work kama hulali vizuri ufanisi ni zero
AsanteMi najua chemsha tangawizi chuja changanya na asali kunywa
Sio mbaya ukiweka na mdalasini
Asali vijiko vya chai viwili kwa kikombe Cha robo lita
Sorry sio mdalasini ni karafuu ila mdalasini pia sio mbayaAsante
Kaka fatilia Tiba ya kitunguu swaumu,unaweka punje chini ya MTO unalala vizuriKuna kipindi nilifanyia ivo ila haikutibu tatizo
Fata ushauri niliompa jamaa na upate evening walk angalau ya saa Moja Kila sikuHili tatizo hata mm ninalo
Ila huyo demu asiwe wale wapiga kelele hata uckuTafuta demu wakulalal nae
Habari watanzania wenzangu naombeni njia mbadala za kupona hii changamoto ninayoipitia ya kukosa usingizi
Hili nimefanya mara nyingi bila majibu yoyote positiveKaka fatilia Tiba ya kitunguu swaumu,unaweka punje chini ya MTO unalala vizuri
Nimefanya nimemtumia dawa miaka mingi tatizo likazidi nikawa addicted na sleeping pills mpaka nikaacha now am drug free 2 yearsPole sana.
Ni vyema ukajichunguza ili kubaini chanzo cha tatizo hilo ili kulishughulikia. Kwa hiyo ni muhimu ukafika hospital uonane na daktari ili akufanyie uchunguzi zaidi.
Kila la kheri.
AsanteKula waki maharagewa moto.halafu kunywa majinya baridi sana kisha chukua Biblia anza kusoma kitabu cha Zaburi ukiwa umelala hutafika mbali kusoma usingizi utakuja tena wa nguvu