Ale ugali dagaaa na mtindi uliotiwa asali akitoka hapo usingizi plus ndoto juuKula wali maharage wa moto.halafu kunywa majinya baridi sana kisha chukua Biblia anza kusoma kitabu cha Zaburi ukiwa umelala hutafika mbali kusoma usingizi utakuja tena wa nguvu
Vigoli vya macho ndio nini hivyo?1. Mazoezi
2. Kula mapema hata masaa 3 kabla ya kulala
3. Kunywa maji hata lita3 Kila siku
4. Relax, baada ya kulala na kuhakikisha chumba kina utulivu bila mwanga wala sauti, Fanya hivi, hakikisha baada ya kufunga macho hakikisha vile vigololi vya macho havichezi, usigeukegeuke kitandani hata ukisikia panapo washa usijikune, Anza kulegeza mwili kwanzia kwenye unyayo, magoti, mpaka kichwani au anzia kichwani kushuka chini.
Bro mbona unampa dawa ya yale mambo yetuMi najua chemsha tangawizi chuja changanya na asali kunywa
Sio mbaya ukiweka na mdalasini
Asali vijiko vya chai viwili kwa kikombe Cha robo lita
Deep breaths ukiwa kitandani zinafanya nilale kama nimekufa... Nakumbuka siku moja nimeamka ghafla nikajiuliza hv nipo sayar gani?1. Mazoezi
2. Kula mapema hata masaa 3 kabla ya kulala
3. Kunywa maji hata lita3 Kila siku
4. Relax, baada ya kulala na kuhakikisha chumba kina utulivu bila mwanga wala sauti, Fanya hivi, hakikisha baada ya kufunga macho hakikisha vile vigololi vya macho havichezi, usigeukegeuke kitandani hata ukisikia panapo washa usijikune, Anza kulegeza mwili kwanzia kwenye unyayo, magoti, mpaka kichwani au anzia kichwani kushuka chini.
Mi najua chemsha tangawizi chuja changanya na asali kunywa
Sio mbaya ukiweka na mdalasini
Asali vijiko vya chai viwili kwa kikombe Cha robo lita
Umetoa ombi kupata msaada. Lakini ulihitajika kujieleza kirefu iwapo uko na familia na kama huna kwanini. Hata hivyo tukusaidie. Kama una mke au mume. Chukua mafuta ya kupakaa ya maji siyo mgando. Wakati wa muda wa kwenda kulala panda kitandani kisha lala kifudifudi kisha mwenzi wako akupake mafuta ya kutosha kwenye NYAYO kisha afanye massage kwenye nyayo tu kwa muda wa dakika 15 hivi. Baada ya hapo ishia hapo lala usingizi wako. Kesho rudia zoezi hilo hata wiki iishe. Ndugu yangu utakuwa umetibu siyo tatizo hilo tu bali matatizo lukuki yaliyo mwilini mwako. Ili kuisaidia jamii tukuombe utujuze mafanikio utakayo yapata.Habari watanzania wenzangu naombeni njia mbadala za kupona hii changamoto ninayoipitia ya kukosa usingizi
Huyo jamaa sio mtu mzuri, atakesha na atahamia huku.....Mzee baba hii mbona kama dawa ya kuamsha mkuyenge 😂
Jamaa si ndio hatalala kabisa...
Nitafanyia kaziFata ushauri niliompa jamaa na upate evening walk angalau ya saa Moja Kila siku
HahahahaMzee baba hii mbona kama dawa ya kuamsha mkuyenge 😂
Jamaa si ndio hatalala kabisa...
Sawa ntajaribu japokuwa sina tatizo la usingiziDeep breaths ukiwa kitandani zinafanya nilale kama nimekufa... Nakumbuka siku moja nimeamka ghafla nikajiuliza hv nipo sayar gani?
Fanya hv ukiwa kitandani vuta hewa kupitia pua na uiachie(exhale) kupitia mdomo taratibu... Rudia kama mara 10 uje uone usngz wa hapo....
Kg 59???Sijui kama nina msongo wa mawazo ila Kuna kipindi Cha miaka mingi nyuma niliwahi kupitia stress nyingi,miaka33,kilo 59kg,nalala peke angu,saa tatu
Ooh ok. My point jitahidi uamke saa 11 Alfajiri fanya ata mazoezi, usilale tena mpaka mchana, mchana unaweza kulala nusu saa tu , usiku usingizi utakuja wenyewe, ila kama unaamka saa 2 au saa 3 asubuhi, usiku ata ufanye NINI usingizi hutoupata na ukiupata lazima ushtukeAsante mm ni mkristu
Anza kula biringanya kwa wingi...uje ushukuruuu.....Habari watanzania wenzangu naombeni njia mbadala za kupona hii changamoto ninayoipitia ya kukosa usingizi
miaka 33 kilogram 59 mmmmh una urefu ganiSijui kama nina msongo wa mawazo ila Kuna kipindi Cha miaka mingi nyuma niliwahi kupitia stress nyingi,miaka33,kilo 59kg,nalala peke angu,saa tatu