Anayejua kuhusu huyu Roboti wa Tanzania anisimulie vizuri. Naona mitandaoni amekua gumzo

Kwenu wataalam wa maroboti.

View attachment 2992470
Kwa kifupi Nape amezingua project kama hiyo ilitakiwa itangazwe kama tenda nyingine tujue Ni kampuni gani ilishinda hiyo tenda Ila kwakuwa Ni mzee WA kujifanya Yuko mbele ya Muda na kutaka sofa ameenda kujiaibisha mbele ya ulimwengu hamna kilu hapo Zaidi ya Pesa zetu za Kodi kupotezwa yani siasa na Mambo ya teknolojia kama hivyo hayawezi kukaa sehemu moja
 
sasa booking fee ni 180m+ sasa gharama za kumnunua utaskia 1b watu washapata hela za uchaguziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

na tukumbuke huyu robot wa tz sio sophia og na ana mapungufu kama yote.....
 

Attachments

  • IMG_20240517_142244.jpg
    63.6 KB · Views: 7
Huyo mdoli wa nape sio taswira halisi ya maendeleo ya Sekta ya Teknolojia ya habari na amawasiliano hapa nchini, huo ni usanii aliopeleka bungeni kuwashangaza kina babu tale na msukuma. Nimetembelea UDOM na DIT wana Project nyingi nzuri tu za robotics & automation kuliko huo utopolo wa nape. Mtu kaleta wapiga dili kutoka SA kuja kuleta kituko nchini, ni aibu sana
 
Mkuu huko vyuoni kuna robot??
tunaomba kuona
 
Sijavutiwa na huyu robot Eunice kama nilivyokuwa navutiwa na kile kikaragosi cha miaka ile kilichokuwa kikichezeshwa huku kikiwa na bonge la msambwanda na kikijulikana kama Joyce Wowowo.
Mkuu kama bado unaishi nyumba ya urithi hama...πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
huyu ni wa ethiopia
 

Attachments

  • 1E08C9C4-4EDC-46CB-966E-5127DCEF0443.jpeg
    45 KB · Views: 6
  • 65750A34-A5C4-48F0-A10F-D3882ACC3F25.jpeg
    24.8 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…