Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Na watumishi wana kinyongo Na wamepaniaaa,kwani stahiki zao zumezimwa kimya.
Taasisi za kifedha hazitoi fedha,yani ni tafrani
 
Pamoja na kwamba nilitoa support yangu kwa Ukawa uchaguzi uliopita ,Mwanzoni nilikuwa najaribu kumuelewa bwana mkubwa mtukufu sana ila kadri siku zinavyozidi kwenda ndio anazidi kunipoteza

Sasa sijui uelewa wangu una matatizo au nahitaji kuwa kichaa kumuelewa ,mfano ishu ya wahanga wa Kagera pesa kwenda kwenye miundo mbinu ila tunajisifu tumelipia Jet Planes Cash zitaingia 2018 mwanzoni
 
Serikali yagawa vifaa vya ujenzi kwa wahanga wa tetemeko, mliokuwa mnabeza pongezeni
 
Hata Yesu alikataliwa,akasulubiwa japo alikuja duniani kutukomboa,,sembuse presdaa wetu?
 
Hivi hii pesa ya ccm inayosemekana wamegawanga 10m kila mmoja siyo hiyo ya michango kweli????
 
Na watumishi wana kinyongo Na wamepaniaaa,kwani stahiki zao zumezimwa kimya.
Taasisi za kifedha hazitoi fedha,yani ni tafrani
Huyu anajitia majaribu mwenyewe 2020 anayotegemea ataiba kura na hazitatosha huyo February ataagiza hata wakorea hazitatosha.
 
Nimeota Baba Yako Atakufa Kwa Ajali Mbaya Sana Ya Gari Kabla Ya Mwisho Wa Mwaka Huu.
Kwa vile hayupo,angekuwepo ningemwambia akualike tar. 1,2017 mnywe nae chai ili ujue ndoto zako si lolote mbele ya Mungu
 

Tunashukuru kuujua ukomo wa uwezo wako wa ' kufikiri '.
 
reject hilo la SAUT Mwanza katika ubora wake

Donald Trump mwezi January 2017 anaanza kuwarudisha ' Wahamiaji ' 3,000,000 hewa waliopo Marekani na nina uhakika 100% humo na Wewe hukosi hivyo ukifika ' jijini ' najua ' nyero ' lako litakuwa limeshanona kama Pizza za McDonald na ' Mwanamume ' nitakuwa ' nateleza ' nalo tu. Na ' tutawapumulieni ' kweli hadi ' mjute '.
 
Mkuu leo saa mbili usiku nilikuwa naangalia taarifa ya habari ITV kwenye Baa tukiwa na wazee ilipofika ile habari ya wanavyuo kukosa mikopo walishangaa sana na wakasema hii serikali sijui inaelekea wapi mbona afadhali ya kikwete haya matatizo hayakuwepo..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…