1. Watu wanalalamika kuhusu michango ya tetemeko.
2) Watu wanalalamika kuhusu ugumu wa maisha mtaani.
3) Kuna shutuma za rushwa ya milioni kumikumi
4) Kuna wanafunzi leo wameandamana kukosa mikopo
5)Watu wanalalamika kuhusu kuminywa demokrasia
6) Kuna watu wa imani fulani wanalalamikia teuzi
7)Watu wanalalamika ajira serikalini hakuna
8)Watu wanalalamika ugumu wa mikopo benki
9)Watu wanalalamika trafiki kuwakamua kwelikweli
10) Watu wanalalamika chanjo hospitalini hakuna
Je tumekosea wapi? Na tufanye nini tuweze kusogea?
.1. Watu wanalalamika kuhusu michango ya tetemeko.

WALIOZOEA PESA ZA BURE ZA MISSION TOWN HAWATAACHA KULALAMIKA. WAMEKWAMA.Akupeleke kwani wewe umekuwa zombie? Raisi Magufuli hayuko hapa kukupeleka wewe popote pale, bali wewe ndiyo unatakiwa ujipeleke mahali kwingine, wewe ndiyo unatakiwa ujitoe hapo ulipo na kwenda sehemu nyingine, wewe ndiyo unatakiwa ujifungue minyonyoro uliyofungwa na fisadi Lowasa, Mbowe & Co. na kuwa mtu huru Raisi Magufuli hawezi kulifanya hilo na wala siyo kazi yake!
Kuna thread humu inaelezea ahadi za Magufuli nenda kaisome....
Halafu kuna Ilani ya CCM nenda kaisome pia.
Halafu rudi hapa uje kutuuliza ambacho hujakielewa..
Hii nchi ili ipate maendeleo yaliyo bora kwa wanachi wake lazima CCM ikae pemben maana miaka 50 sasa hamna cha maana tunazid kudorola kila kuitwapo leo tukiwapumzisha CCM hata awamu moja tu wakirud watakuwa wamepata akili.