Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁



😱😱😱😱😱😱😱😱


😀😀😀😀😀😀😀😀


😛😛😛😛😛😛😛😛
 
kumbe mwenye hii i.d ni yule katibu wa UGT?
 
Ewura haina BOSI ? Yeye kaachwa ili nini?aliyetangaza bei mpya nani? Sio ewura ?
 
Ewura haina BOSI ? Yeye kaachwa ili nini?aliyetangaza bei mpya nani? Sio ewura ?
 
Me nimeridhika na hili jibu nililopata baada ya kusoma hizi nukuu.
 
Jifikirie vyema.
Fikra zako zinamakengeza(biased )
 
Superficially you might seem right. If you go deeper and beyond... utagundua kuwa haupo sahihihttp://
 
2020 ikatae ccm kabisa.
Dai tume huru ya uchaguzi ewe mtanzania.
 
Naomba nikuulize swali moja mkuu! Kuna hata post moja unayo dhani umeandika na wewe ukiisoma unakubali kuwa hapa nimetumia akili? Please hebu zipitie kisha tuambie ni ipi kwani binafsi nimeanza kuhisi huwa tunajadiliana na mtu mwenye kuhitaji tiba ya afya ya akili.
Samahani lakini, yaani ni mawazo yangu tuu hivyo waweza nidhibitishia kuwa sivyo ulivyo bali unafanya makusudi tuu.
 
Nakubaliana na hoja yako asilimia zote mkuu.
 
Chattle.
 
2020 ikatae ccm kabisa.
Dai tume huru ya uchaguzi ewe mtanzania.

kama hamjui Magufuri anawapeleka wapi, nendeni mkawaulize wananchi wa Ihumwa kule Dodoma. CCM imeshashinda uchaguzi wa udiwani bila kupingwa mpaka sasa.

mwaka huu lazima CDM mjinyonge.
 
Note.Ni ngumu kuwa na Taifa lenye maendeleo na kupiga hatua kama bado kuna kundi la Wafia Chama kuliko TAIFA.


Sijui kwa nini mkuu wa nchi alidanganya kwamba dunia nzima serikali hazijengi nyumba wakati wa maafa
15,861 houses in building process for earthquake victims

Wakati huo huko Japan tetemeko la Kumamoto, serikali ilijenga nyumba 3000, mh rais angeongea tu vingine lakini sio kudanganya.


Kwa hiki kilichoonyeshwa Bukoba huenda kikawafanya wananchi kuwa wagumu kuchangia maafa huko mbeleni kwa kuhofia michango yao kuchukuliwa kwenda kufanya yaliyokuwa kinyume na lengo la michango yenyewe.

Note. Mlimpamba sana ngosha ,akajisahau,akahisi ni Mungu..akaanza na kusigina katiba..Mkamsifu! Akaingilia Bunge mkaona poa..huu ni mwendelezo tu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…