mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 7,922
- 3,618
tuwe serious jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwl Nyerere aliwahi kusema "hatuwezi kuwa na rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya rais au waziri mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida. Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je? anajua jinsi ya kututoa? Anajua anakotupeleka? Nimejitahidi kuangalia bunge ili nione labda mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi. Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
Hajaleta maswala yoyote hapa bali kutwambia kwamba ameduwaa hajui aendako; namshauri aumize kichwa, ayasome mazingira, atajua tunakoelekea; A fair, just and equitable society; serikali inayokusanya kodi, nchi ambayo kila mtu anakula mapato ya juhudi zake za kazi halali, na nchi isiyotukuza majizi, majangili na mafisadi ya mali ya umma, nchi ambayo mapato ya serikali yanatumika kuinua hali ya maisha ya wananchi wake wote bila ubaguzi au kuwanufaisha wachache walioko kwenye utumishi wa umma. PeriodMasuala ya msingi kama haya aliyojaribu kuhoji mleta mada yanatakiwa yapatiwe mchango stahiki kama hoja yenyewe.
Tusifanye siasa kwa kila hoja. Hii nchi ni urithi wa vizazi vijavyo tusiiharibu jamani.
Tupe strategy tunafikaje huko siyo kupiga ramliHajaleta maswala yoyote hapa bali kutwambia kwamba ameduwaa hajui aendako; namshauri aumize kichwa, ayasome mazingira, atajua tunakoelekea; A fair, just and equitable society; serikali inayokusanya kodi, nchi ambayo kila mtu anakula mapato ya juhudi zake za kazi halali, na nchi isiyotukuza majizi, majangili na mafisadi ya mali ya umma, nchi ambayo mapato ya serikali yanatumika kuinua hali ya maisha ya wananchi wake wote bila ubaguzi au kuwanufaisha wachache walioko kwenye utumishi wa umma. Period
tatizo linaloweza kuwepo ni washauri kushindwa kumshauri mshauriwa ,...na hivyo wao washauri kugeuka washauriwa wa yule waliyepaswa kumshauriThis is serious naomba niwajue watu wanao plan economic strategy za nchi
LoserI can't waste my precious time arguing with an empty headed
Naona hiyo sukari ndio ajenda pekee iliyobaki ya chadema.Ww unanunua sh ngp sukari labda
Mwulize ananunua sukari sh ngapi huko ndipo ataelewa.Wewe ambaye huzungushi mikono na unayejua mwelekeo si utwambie tunaelekea wapi?
Naona hiyo sukari ndio ajenda pekee iliyobaki ya chadema.
Nafikiri anajua ila kwa mbinu anazotumia itatuchukua miaka mingi sana kufika kama safari ya Mussa kwenda Kanani.Yeye mwenyewe hajui anapotaka kutupeleka!
I don't argue with a fool, because the people might not notice the difference.Mkuu, kwani CCM wanauziwa sukari shs 1,800 (bei elekezi) kama ilivyotangazwa?
Nyie mlioduwaa ndio mnapiga ramli! Hapa kazi tuTupe strategy tunafikaje huko siyo kupiga ramli