johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Yamekuwa hayo?
Ndio, heri zimwi likujualo halikuli likakwisha, huyu atatula halafu ataenda zake Dubai anakojenga Magu alijenga Chato.Yamekuwa hayo?
Sawa nitaendelea kulinganisha hata ajae.Wewe ni aina ya watu ambao hamjui mnataka nini na akiondoka huyo mama akija mwingine utasema bora huyo mama
R. I. P JPM.Nimefuatilia matukio ya hawa marais wawili nikagundua kuwa utawala wa Magufuli ulikuwa na uafadhali kidogo kuliko huu.
Magu alikuwa katili kama huyu lkn angalau alikuwa na upendo na taifa lake, alijivunia utaifa hakuwa na simile kwenye rasilimali za taifa kama madini, bandari, miradi nk. Ila huyu hana vyote, hana utu fikiria ya Loliondo ya Wamaasai, hana utaifa, hana uchungu na rasilimali zetu, hana upendo na Watanganyika Hata Wazanzibari wenzake zaidi ya Inner circle na wanaomzunguka. Inasikitisha sana to have such a President.
Cc Kulwa Jilala Etwege Mbaga JrNimefuatilia matukio ya hawa marais wawili nikagundua kuwa utawala wa Magufuli ulikuwa na uafadhali kidogo kuliko huu.
Magu alikuwa katili kama huyu lkn angalau alikuwa na upendo na taifa lake, alijivunia utaifa hakuwa na simile kwenye rasilimali za taifa kama madini, bandari, miradi nk. Ila huyu hana vyote, hana utu fikiria ya Loliondo ya Wamaasai, hana utaifa, hana uchungu na rasilimali zetu, hana upendo na Watanganyika Hata Wazanzibari wenzake zaidi ya Inner circle na wanaomzunguka. Inasikitisha sana to have such a President.
Mkuu si wanasema muislam mwenzako sasa imekuwaje?Bora mkatili mzalendo kwa kweli kuliko haya...
Huyu asie na uzalendo anakuwa katili maradufu hachagui wa kumfanyia ukatili ..
Anazuai hadi watu kwenda kusikiliza kesi sio kuzuia tu kuwateka kuwapiga na kuwayelekeza porini, inasikitisha.Si mnasema mwanamke anatumia mihemko kudeal na jambo badala ya kufukiri zaidi? Ss Kila wanalomshauri anaendanalo mazma bila kulitafakari.
Urais ni taasis nadhani waliomzunguka wanampotosha either kwa kumjaza woga usio na ukweli wwte ss unakuta badala kutatua ndio anavurunda zaidi
Inawezekana, wamchoshe baadae mwenyewe aseme sigombei si kwa vituko hivo.Huyu mama wanamtafutia namna ya kum exit
Hätä Mimi Hilo nimeliona baada ya mtu flani kitengoni kunitonya. Maza alishtukaga akawatoa January na nape. Ila bado wanaendelea kucheza na hizi pilka. Awe makini.Huyu mama wanamtafutia namna ya kum exit
DahAnazuai hadi watu kwenda kusikiliza kesi sio kuzuia tu kuwateka kuwapiga na kuwayelekeza porini, inasikitisha.
View attachment 3314027