Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.

Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.

Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.

Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.

Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Ni rais Bora
 
Naombeni timu mama, mitano tena mje mnijibu ni kipi alicho kianzisha Rais Samia zaidi ya kuendeleza miradi ya Magufuri ambayo hata hivyo miradi mingine bado inasuasua
Laiti kama angekuwepa Magufuri nazani angakuwa alishaimaliza na tungekuwa tunazungumzia miradi mengine mipya
 
Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.

Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.

Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.

Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.

Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Bwawa la umeme Rufiji na SGR
 
We poyoyo utakuwa dunia tofauti
 
View: https://youtu.be/YB7-cF_grvo?si=8i20rcxD78wdGbbo
The incident of detaining Tundu Lissu, The CHADEMA National Chairperson for falsely culculated treason charges is now a spotlight of discussion in major international and national mainstreams, blogs, vlogs and other social medias..

Africa Uncoverd blog and tubers are digging this incident in deep in this short audio video..

#No Reforms, No Election
#FreeTunduLissu now
 
Chadema na bidii yao ya kutangaza mabaya ya Dr samia, lissu alitamka yeye mwenyewe kwa mdomo wake NI LAZIMA AANZISHE UASI, kauli kama hizi mara nyingi ni lazima zipekuliwe, zichunguzwe, maana huyu anayetamka sio mtoto mdogo tunayeweza kumpuuza, lazima hata pengine funds na account zake zichunguzwe hii si kauli ndogo hata siku moja, naona watu wanachukulia poa Poa tu, kuibomoa amani ni sekunde moja tu, kuijenga sasa au kuirudisha it can take 20+,aidha ishindikane kabisa kimsingi ni lazima kauli yake ichunguzwe by any mean
 
View: https://youtu.be/YB7-cF_grvo?si=8i20rcxD78wdGbbo
The incident of detaining Tundu Lissu, The CHADEMA National Chairperson for falsely culculated treason charges is now a spotlight of discussion in major international and national mainstreams, blogs, vlogs and other social medias..

Africa Uncoverd blog and tubers are digging this incident in deep in this short audio video..

#No Reforms, No Election
#FreeTunduLissu now

Angekuwa Samia ni Dikteta angemtembelea Lissu Nairobi mwaka 2017? Angekuwa Samia ni Dikteta angemfuata uhamishoni Brussels na kuongea naye na kumsihi Lissu arudi nchini??

Kama Samia ni Dikteta angeweza kumfutia kesi 2 Mahakama ya Kisutu na kumlipa mafao yake ya ubunge aliudhulumiwa na Magufuli??

Tundu ni mtu asiye na mshipa wa kuchuja aongee nini kwa wakati gani. Samia alianza maridhiano ila yeye ndiyo mtu wa kwanza kuyabeza.

Tuiachie Mahakama ifanye kazi yake
 
Awe makini - kuongeza maadui wengine ni hasara kwake.

Sidhani kama kuna utawala wowote Duniani ambao alipingana na viongozi wa dini hasa wa haya madhehebu makubwa afu ukapeta.
 
Ngoja tuone hii style aliyoichagua itamfikisha wapi.

Alikuja Magufuli hapa akawa ananguruma kama Simba sasa hivi amebaki hadithi. Kumbe alikuwa na saa kwenye moyo wala hakutuambia
 
Sasa hivi ni mwendo wa Risasi Rafu Roba Rarua tatizo mlileta dharau😏
 
Unapoamua kutanganza uadui na mtu yeyote lazima kwanza ufikirie hata kama ni mtoto mdogo, maana uwanja wa vita haijalishi uko fiti kiasi gani matokeo huweza kubadilika sa yeyote
 
Nimefuatilia matukio ya hawa marais wawili nikagundua kuwa utawala wa Magufuli ulikuwa na uafadhali kidogo kuliko huu.

Magu alikuwa katili kama huyu lkn angalau alikuwa na upendo na taifa lake, alijivunia utaifa hakuwa na simile kwenye rasilimali za taifa kama madini, bandari, miradi nk.

Ila huyu hana vyote, hana utu fikiria ya Loliondo ya Wamaasai, hana utaifa, hana uchungu na rasilimali zetu, hana upendo na Watanganyika Hata Wazanzibari wenzake zaidi ya Inner circle na wanaomzunguka. Inasikitisha sana to have such a President.
 
Back
Top Bottom