Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Watu km wewe ndo mnafanya mama achukiwe, badala ya kuja na hoja za utetezi zinazoeleweka wewe nawe umekua mtu wa kejeli..!!

Unachokifanya unamrushia jiwe mbwa aliyejeruhiwa…
Kumchukia au kumshangilia haiondoi ukweli kwamba kuna kazi nzito anaifanya. Sisi wakazi wa Dar na mikoa mingine mikubwa tunakimchukia hatumpunguzii chochote ikiwa SGR inamaliziwa kujengwa muda huu.

Ikiwa ndege 3 zinanunuliwa mwaka huu. Ikiwa wafanya biashara wanakutanishwa na wa mataifa mengine.

Ikiwa uwekezaji katika sekta ya umeme unawezeshwa kufanyika. Mwanasiasa wa ngazi ya urais haswa barani Afrika mara nyingi anachukiwa na wasomi na anapendwa na watu wa hali za chini.
 
Wewe unaonekana chawa ndiomana unatetea ulaji, huku mtaani umeona maisha ya watu kweli?
Pesa hakuna na maisha ni magumu, wewe km unakula unashinda kwa kodi zetu tulia..
 
Hakuna Rais anayependwa tangu Julius Nyerere kila anayeingia ikulu anakutana na malalamiko. lakini wakati sisi tunalialia na kuitana chawa kuna watu muda huu wanaanzisha biashara za mamilioni ya shilingi, wapo wanaofungua viwanda vikubwa muda huu.

Tanzania hii hii tunayolia ugumu wa maisha inao wafanya biashara wanaopata madili makubwa ya kimataifa.
 
Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.

Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.

Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.

Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.

Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Vitisho vimepungua compared to enzi za JPM.
Hata Investors wameongezeka.
 
Hakuna Rais anayependwa tangu Julius Nyerere kila anayeingia ikulu anakutana na malalamiko. lakini wakati sisi tunalialia na kuitana chawa kuna watu muda huu wanaanzisha biashara za mamilioni ya shilingi, wapo wanaofungua viwanda vikubwa muda huu.

Tanzania hii hii tunayolia ugumu wa maisha inao wafanya biashara wanaopata madili makubwa ya kimataifa.
Hao wanaofungua maviwanda makubwa pesa wanazitoa wapi? 🤔
 
Mabenki yanafanya kazi gani?. Matajiri kina Marehemu Mengi walikopa pesa sembuse sisi watu wa kawaida.

Watanzania tunapenda sana kuhalalisha matatizo yetu tunapenda kuziwashia AC shida zetu na tunaishia kunyooshea marais vidole!.
 
Mabank yanakopesha bila kuweka asset yoyote au mpk uwe nayo?? Vipi kwa ambao hawana?

Mkuu unaongea km umekatwa kichwa, hivi unafikiri kuna mtu anapenda shida?
 
Wewe ndiye umekatwa kichwa, lini shida zimewahi kukosekana duniani?.
We fisadi unapotelea wapi? Comment ya muda unakuja kujibu leo 😹😹

Nakuuliza tena hizo bank ziko tayari kukopesha mwananchi ambaye hana assets?
Jibu km hujakatwa kichwa sasa..!!
 
Siku zote wanaokopeshwa wanazipata vipi hizo pesa?.

Acheni kupenda kulaumu kwa kujifanya kuongea kwa niaba ya watu wasio na uwezo.
 
Kipindi cha jpm kushweka wapinzani mahabusu au mahakani bila kosa ilikuwa ni jambo la kawaida na tulikuwa tumeshazoea. Sasa je na huyu anakaribia kumfikia japo kwa mbali?
 
Upole wa Samia mliupa tafsiri ya udhaifu, sasa kaziacha criminal machinery zizunguke. Mlizidi dharau m. bua.aaaaa nyie
 
Back
Top Bottom