Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Yes, jiwe alikua anaagiza mama kaachia machawa wafanye utawala wake, Laissez-faire leadership ndo yake!
 
R. I. P JPM.
Hakika ulikuwa shujaa kweli kweli. No reform no election.
 
Si mnasema mwanamke anatumia mihemko kudeal na jambo badala ya kufukiri zaidi? Ss Kila wanalomshauri anaendanalo mazma bila kulitafakari.

Urais ni taasis nadhani waliomzunguka wanampotosha either kwa kumjaza woga usio na ukweli wwte ss unakuta badala kutatua ndio anavurunda zaidi
 
P.Magufuli alikuwa devoted Christian vs raisi samia ambaye ni muslim, muslim= communist …
 
Cc Kulwa Jilala Etwege Mbaga Jr

Nyau de adriz
 
Wengin huwa tunafuatilia watumishi wa mungu. Yupo Dr Ian Ndlovu amewahi toa prophecy nyuma kuhusu mkuu kwamba mkuu asifuate ushauri wa watu walio nje ya mfumo au utumishi.wa.umma.

Pia alitabiri kuna watu wa karibu na mkuu wanashauri ndivyo sivyo ili mkuu aonekane hana weledi akosee naamini hata hili la uhaini la upinzani ni kosa hasa kipindi hichi tunaelekea uchaguzi.


View: https://youtu.be/7wp4YDH1SpQ?si=6uybEb7FIp9wQFDS
 
Anazuai hadi watu kwenda kusikiliza kesi sio kuzuia tu kuwateka kuwapiga na kuwayelekeza porini, inasikitisha.

 
Ni sahihi kabisaa. Mwenda zake alizuia kabisa shughuli za kisiasa ikawa hivo. Huyu kawaruhusu alafu anawakmiza. Hamna mtu hapo.
Mwanaume ni Kichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…