Nimefuatilia matukio ya hawa marais wawili nikagundua kuwa utawala wa Magufuli ulikuwa na uafadhali kidogo kuliko huu.
Magu alikuwa katili kama huyu lkn angalau alikuwa na upendo na taifa lake, alijivunia utaifa hakuwa na simile kwenye rasilimali za taifa kama madini, bandari, miradi nk.
Ila huyu hana vyote, hana utu fikiria ya Loliondo ya Wamaasai, hana utaifa, hana uchungu na rasilimali zetu, hana upendo na Watanganyika Hata Wazanzibari wenzake zaidi ya Inner circle na wanaomzunguka. Inasikitisha sana to have such a President.
Mkuu nakuheshimuuna vitu vya kipuuzi ukiongea nawe nakuona mpuuzi.Mkuu si wanasema muislam mwenzako sasa imekuwaje?
Covax gallow bird Tanganian Missile of the Nation Malaria 2
Nyau de adriz
Mkuu heshima kwako asee. Dah najisikia vibaya sana kukosea. Nimeahidi nafsi yangu ntajitahidi kuwa na staha na kupunguza kutumia hii makitu lakini siyo kuiacha mazimaa.Mkuu nakuheshimuuna vitu vya kipuuzi ukiongea nawe nakuona mpuuzi.
Muislam mwenzangu, so what!? Anafanyia nini huo uislam.. tanzania ni taifa la dini mchanganyiko, mtu hachaguliwi kwa udini wake bali kwa uwezo wake wa kuipa maendeleo nchi, kama ingekuwa taifa hili ni la kidini, basi pia angechaguliwa mtu mwenye dini husika lakini lazima awe na vigezo fulani ili awe kiongozi.
Viongozi wangapi walipita waislamu na je wameufanyia nini uislam.
Siwezi chagua kiongozi kisa dini yangu, sababu pale haendi kuendesha dini yangu, anaenda endesha taifa, hivyo kigezo cha dini hakuna.
Na muache huo upuuzi wenu wa udini taifa hili mtaliingiza kwenye tabu nzito.
Someni kwanza hiyo dini yenyewe uislam unasemaje kuhusu kuwa katika nchi ambayo hakuna dini lakini kuna uhuru wa kuabudu na sheria nyingine za kidini.
Karibu.
Nami nimekusamehe mkuu, kumbe tayari ushatumia hiyo kitu...Mkuu heshima kwako asee. Dah najisikia vibaya sana kukosea. Nimeahidi nafsi yangu ntajitahidi kuwa na staha na kupunguza kutumia hii makitu lakini siyo kuiacha mazimaa.
Nyau de adriz
Wisdom is chasing you but you are always faster. Dundee United. What a waste of sperms.#samia must go!
1. She has never been elected , she became President by default!
2. Breaking the constitution by announcing herself as presidential candidate breaking the procedures of her own party on how to get a presidential candidate!
3. Huge gape in leadership skills and performance!
4. No more 5 years of kitchen party experience!
5. Tanzania has became very unstable and peopleβs to feel insecure has become the norm.
Enough of this nonsense! The country belongs to all of us and not to the few people.
God we trust in you please fulfill your promises to the Nation of Tanzania!
#samia must go!
She's a trespasser...11. Shii izi fromu anaza kantri.
Tulia dawa iingie hizo porojo peleka kwa mke wako1. Not elected
2. Not selected
3.She was not sworn in, In the presence of citizens
4.Not popular
5.Not attractive
6. She has no confidence to rule the country
7. She has failed to control the power of her cabinet
8. She has failed to control her security agencies
9. She is criminal to the office
10. She has failed to integrate the nation
Just why she is not my president
Wakiristo kwenye moja na mbili,wadini wacenge nyinyi!!1. Not elected
2. Not selected
3.She was not sworn in, In the presence of citizens
4.Not popular
5.Not attractive
6. She has no confidence to rule the country
7. She has failed to control the power of her cabinet
8. She has failed to control her security agencies
9. She is criminal to the office
10. She has failed to integrate the nation
Just why she is not my president
1. Not elected
2. Not selected
3.She was not sworn in, In the presence of citizens
4.Not popular
5.Not attractive
6. She has no confidence to rule the country
7. She has failed to control the power of her cabinet
8. She has failed to control her security agencies
9. She is criminal to the office
10. She has failed to integrate the nation
Just why she is not my president