Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

kuanzia namba 1 mpaka 5 hazina maana yeyote --- ni za kufuta
 
Ukiangalia jinsi viongozi wanavyochaguliwa na kupatikana huku afrika hasa Tanzania utaona ni kwa jinsi gani hatuko serious.

Yani kuna watu mpaka unajiuliza aliyemchagua/kumpenda aliona kitu gani cha ziada kwake
 
Hama nchi mbona rahisi TU...Samia tunae na tunatamba nae Hadi 2030
 
She is regionalism
 
Nenda pale magogoni kamwambie, otherwise ww n keyboard fighter tuu huna jipya.
 
Hapa tuu ndo naunga mkono, hizo zingine n matatizo yako binafsi.
 
You are incompetent, ok? Usikimbilie kwenye kichaka cha dini hapa. Kama uwezo huna, kubali.
Uwezo,uwezo upi!?..gdp, miundombinu,ajira au kitu gani!?..mnapimaje uwezo?!..hii ni dhahiri kishiko chenu ni dini mkijificha nyuma ya uzanzibar
 
Uwezo,uwezo upi!?..gdp, miundombinu,ajira au kitu gani!?..mnapimaje uwezo?!..hii ni dhahiri kishiko chenu ni dini mkijificha nyuma ya uzanzibar
Haya mambo ya udini mnayaleta nyinyi. Kama uwezo wa kuongoza huna, utaambiwa tu ukweli.

Na kama ukiambiwa ukweli unachukia na kuanza kutesa na kuua wakosoaji wako, kumbuka tu damu ya mwanadamu inanuka! Hivyo na wewe siku yako ikifika, hakika utakufa kifo cha mateso sana.
 
Leo ndo nimeelewa hili bandiko
 
Hana uwezo kivipi!?.. nimeuliza ni kwenye gdp,ajira, miundombinu au nini!?
 
Hana uwezo kivipi!?.. nimeuliza ni kwenye gdp,ajira, miundombinu au nini!?
Uwezo wa kupambana dhidi ya rushwa, ufisadi, na pia kwenye utawala bora amepwaya sana. Binafsi amenikatisha sana tamaa. Mwanzoni alianza vizuri. Ila kwa sasa amepoteza uelekeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…