Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Huyu bibi yako ni mjinga,aachie kitu watu wenye akili waendeshe nchi
 
Samia ndani ya miaka minne aliyokaa ikulu amefanikiwa kuliko marais wote watano waliomtangulia.

Jitahidi uje na data ili uzi wako usionekane kuwa ni wale wale wapenda mipasho.
 
Samia ndani ya miaka minne aliyokaa ikulu amefanikiwa kuliko marais wote watano waliomtangulia.

Jitahidi uje na data ili uzi wako usionekane kuwa ni wale wale wapenda mipasho.
Tunaongelea swala dogo tu la kupanda nyasi,achana na mambo yenu ya kijinga huko CCM,kama kashindwa swala la kupanda nyasi tu,hayo.mengine ni uongo mtupu
 
Kaka huyu Raisi ni bogus sana,na hizi billion 30 hawajazitoa serekali ya CCM,zimetolewa na CAF,na wajanja wamezipiga,waweza kuta hata Abdul ana mgao wake
Habari ya uzushi ambayo ukiambiwa uitolee ufafanuzi nina uhakika huwezi zaidi zaidi utakuja na matusi mengi yaliyozoeleka kusikika.

Hakuna bilioni 30 ya CAF iliyopigwa, uwanja unajengwa kwa pesa inayotoka kwao hakuna mtu yoyote wa serikali mwenye kuweza kuwaamulia CAF waitoe pesa.
 
Tunaongelea swala dogo tu la kupanda nyasi,achana na mambo yenu ya kijinga huko CCM,kama kashindwa swala la kupanda nyasi tu,hayo.mengine ni uongo mtupu
Nani aliyekwambia kashindwa kupanda nyasi nenda uwanja wa Taifa muda huu kaone kazi iliyofanyika.

Usisikilize huo upuuzi unaotengenezwa hapo Salamander na kina Priva pamoja na Ali Kamwe, hizo ni siasa za maji taka.
 
Nasikiliza taarifa ya CAF,achana na taarifa ya CCM
 
Ushaidi ni kazi iliyofanyika
 
Bora JPM 100% kuliko huyu mama
Huyu Mama kayaendeleza yote yaliyoahidiwa na JPM pia kaongeza mengi mapya ya kwake mwenyewe. Hawezi kupewa sifa kwa sababu ndani ya akili zetu watanzania wengi huyu ni mwanamke kwanza, atahukumiwa siku zote kwa jinsia yake na sio kwa uwezo wa kazi yoyote atakayoifanya.

Samia anajenga viwanja viwili Dodoma na Arusha, hakuna Rais mwingine aliyemtangulia tangu 1961 aliyeweza kuthubutu kuja na hiyo michakato.

Anamalizia viwanja vya ndege na kufanya mengi mapya, hawezi kupewa sifa kwa sababu ya jinsia yake.
 
Huwa nawaona machizi kweli kweli wanaopoteza muda na kusema hajaanzisha mradi wowote. Hivi mmewahi kujiuliza ameikamilisha mingapi ya mwenzake?!!!!
 
Huwa nawaona machizi kweli kweli wanaopoteza muda na kusema hajaanzisha mradi wowote. Hivi mmewahi kujiuliza ameikamilisha mingapi ya mwenzake?!!!!
Kwa pesa zipi? Zile zilizokwisha tengwa?au . ...... Za kwake alizokusanya zinatumika wapi?
 
Hivi huko CCM hamna mwanaume mwenye uweze wa kuongoza inchi,huyu Mama inchi imemshinda tunakoelekea miaka mitano ijayo itakuwa mibaya kabisa,
Sababu anaonekana anauwezo mdogo sana wa kuchambua mambo,ndiyo maana anapenda sana kusifiwa na kualikwaalikwa ili apate ingalau faraja,lakini akipata changamoto kidogo tu anachanganyikiwa
kiuhalisia hatuwezi kuongozwa na rais kama huyu,maana wanaompa ushauri wao hawajali kivile sababu mwisho wa siku anayelaumiwa ni yeye
inaonekana yeye anaupokea kama ulivyo ndiyo maana amebadilika sana kutoka yule samia wa mapatano na wapinzani mpaka huyu jeuri
 
Ngoja waje kina tlaahtlaah na Mwashambwa!
 
Madaraka hulevya mkuu ukianza kunywa damu za watu kamwe huwezi acha
 
Nilivyosoma haraka haraka nikajua kumtroooooo ngoza! Kumbe kutuongoza jamani wenge la pombe sometimes jau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…