useyourcommonsensetothink
Member
- Nov 5, 2025
- 89
- 165
mmoja wa wazee wa ovyo kabisa kuwai kuwa nao katika nchi yetu.Kutokana na ushawishi na uzoefu wake kimataifa raisi mstaafu sasa anafanya kila mbinu ili kumuokoa samia na hayo mauaji makubwa aliyofanya kwa watanzania, hivyo raisi mstaafu anahangaika kwa kuwa jumba bovu samia likishaanguka nae hatokua salama.
Inasemekana raisi mstaafu sasa anahaha kumuokoa huyo mama kwa kila namna, inasemekana kwa sasa anafanya vikao lukuki kuongea na wawakilishi wa nchi nyingi kuona namna ya kumuondoa huyo samia kwenye mambo atakayopaswa kuwajibika kwa mauaji ya maelfu ya vijana wa kitanzania.
Mzee wa msoga anahaha kumuondoa samia kwenye kesi zinazoenda kumkabili kimataifa ikiwemo kesi za International Criminal Court - ICC, mikopo kimataifa n.k
Ila inasemekana hao wazungu wamekataa kumsafisha sababu wanasema mauaji aliyofanya samia endapo yatafumbiwa macho basi Kuna uwezekano mauaji ya aina hiyo yakasambaa Dunia nzima kwa kufanywa na viongozi wengine wenye akili za kipumbavu kama alivyo samia kwa uchu wa madaraka na ufisadi.
Wazungu wamekataa na wamemuonya Mzee wa msoga aache kutumia rasilimali za nchi hovyo ili kumuokoa huyo samia na wamemshauri kwamba inabidi samia awajibike kwa makosa yake,
Pia inasemekana hiyo imekua ni kawaida ya raisi mstaafu kuweka rehani rasilimali za nchi kwa wageni ili kukwepa kuwajibika kimataifa anapofanya makosa mfano ni ishu ya madawa ya kulevya kwa mwanafamilia wake na taifa la china.
Huyo Mzee ni mbuyu uliobeba wachawi na mashetani wanaonyonya damu za watanzania bila huruma.Mw
Mswahili siku zote ni mswahili tu na ndiyo aliyetuharibia inchi huyu mzee
Huyo Mzee ni mbuyu uliobeba wachawi na mashetani wanaonyonya damu za watanzania bila huruma.mmoja wa wazee wa ovyo kabisa kuwai kuwa nao katika nchi yetu.
Somo la kiswahili ulipata alama ngapi form four ndugu?Uzi mmoja ila una 'inasemekana' mia tatu
Huyo Mzee ndio mbuyu unaofuga mashetani yanayonyonya hii nchiMagufuli aliwahi sema ni kikwete aliyeshauri Samia awe mgombea mwenza. Anampambania sana kwa maslahi yake binafsi kwa kuwa yeye kikwete ana madudu kibao ameyafanya
Huo mbuyu unaofuga mashetani yanayotesa watanzania ukianguka na nchi yetu nzuri itapumuaWewe nawe KILAZA. Jk ana mapicha lukuki zinazomuonesha ajifanya vikao na wazungu, unaweza ukawekewa hapa lkn ilikuwa kwenye muktadha tofauti. So picha pekee sio ndio ushahidi wa kujitosheleza.
By the way huyohuyo mzee wa msoga alisema za kuambiwa changanya na zako.
Huyo ni mnufaika wa hao mafisadi, kwa sasa ni vipofu wasioona madhara yanayowakuta watanzania kama utekaji na mauaji.SIyo kila kitu unaweza kuweka ushahidi.
Hivi kwa mfano, una rafiki yako ni polisi, akaja kukunong'oneza kuwa, wamepewa maelekezo ya kwenda kukuteka huihui kesho usiku, hivyo jitahidi usiwepo nyumbani kwako wala maeneo ambayo umezoea kuwepo. Nawe ukashukuru kwa ushauri, lakini ukaona kuwa pamoja na jitihada utakazochukua, ni vema uwajulishe ndugu na marafiki zako wa karibu, nao wakikuambia upeleke ushahidi, ni ushahidi gani utakaoupeleka? Siyo kila jambo litakuwa na ushahidi wa picha, ndiyo maana kuna matukio yakitokea, hata mahakama huwa zinaukubali ushahidi wa kimazingira.
Huyo ni dalali na sio mwanademokrasia.Alafu huyu si ndo alikuwa akijitapa ni mwanademokrasia, sasa yako wapi mbona hampi ma ushauri wa kufaa kuhusu hii nchi?
Hakuna kurudia nyumaWatu wengine wavuta bange na wanaandika nyuzi za bange