Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Dr. Samia Suluhu Hassani ndie kiongozi mkuu wa Tanzania na amerijeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, ambae pia ni kipenzi cha waTanzania wote.

Chuki nonsense za mamluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ni useless kabisa na haziwezi kubadili utawala wa Tanzania madhubuti chini ya CCM imara
 
Uliona mbali, kwakweli Meli yetu imepoteza uelekeo na mbaya zaidi nahodha anawadhuru wenzie badala ya kupambana kukifikisha chombo bandarini!
 
Wakulaumiwa ni wanaccm kwa kukubali kuburuzwa na Jakaya Mrisho Kikwete na kumpitisha huyo mwanamke toka nchi jirani ya Zanzibar kana kwamba CCM imekosa mwanaume Mtanganyika mwenye sifa ya kuwa Rais wa nchi yetu pendwa ya Tanganyika.Ilaaniwe CCM.
 
Nchi ya tanganyika imekufa mkuu
 
Sikuwahi kudhani kuwa we ni punguwani kiasi hiki! Kwamba ajira za watu 1,000 unalimganisha na mauaji mliyofanya ya 10k+!? Ajira unaweza kupata nyingine, vipi kuhusu uhai? Hivi hizo 10k mnazolipwa ndo zinawatoa akili na utu kiasi hiki!?
 
Akili huna wewe, KPI zenu ni post ngapi kwa siku?
 
Sikuwahi kudhani kuwa we ni punguwani kiasi hiki! Kwamba ajira za watu 1,000 unalimganisha na mauaji mliyofanya ya 10k+!? Ajira unaweza kupata nyingine, vipi kuhusu uhai? Hivi hizo 10k mnazolipwa ndo zinawatoa akili na utu kiasi hiki!?
Punguani ni wale wenye akili za kibinafsi kama wewe, kwamba hamkujua wakati mnachoma mali za watu mlikuwa mnahatarisha maisha yenu wenyewe?!.

Mmeleta umaskini mkubwa wa kipato kwa sababu tu ya kuiga msiyoyafahamu vizuri.

Kila aliyeaga dunia ni muhimu sana kwa wazazi na jamaa zake na jamii nzima, tuliomba kwa siku tisa Novena maalum ya kuombea uchaguzi, baada ya vifo vile tukaomba misa maalum kwa ajili ya kuziombea roho za marehemu na jamaa zao.

Lazima mzoee kuusikia ukweli hata kama mnayo hulka ya kutopenda kuusikia.

Kwamba mliyoyafanya kwa viburi vyenu yameleta majonzi kwa wazazi wenu pia yameleta umaskini kwa wafanyabiashara wengi, mzunguko umeathirika.
 
Kuna wale jamaa kina Bashiru na Polepole alituhumiwa kutaka kupindua ibara ili Makamu asipewe nchi.
Kipindi kile sikuwaelewa
2021 ilishakua failure kwa uamuzi wowote ule ambao ungechukuliwa, kwamaana ukisimama nchale ukikaa nchale. --- tukio lilikua ghafla.

Kitendo cha wao kushindws maana yake kuna kundi lilishinda, mtifuano wa madaraka ungeelea tu
 
View attachment 3547639
 
Sikuwahi kudhani kuwa we ni punguwani kiasi hiki! Kwamba ajira za watu 1,000 unalimganisha na mauaji mliyofanya ya 10k+!? Ajira unaweza kupata nyingine, vipi kuhusu uhai? Hivi hizo 10k mnazolipwa ndo zinawatoa akili na utu kiasi hiki!?
Huyo bwenge ni mhamiaju haramu toka Rwanda ndiyo maana anatetea upuuzi wa Samia
 
Wakati wa maandamano ya kupinga mauaji ya raia mweusi USA na askari mweupe mali za serikali ziliharibiwa na vyombo vya Dola haviku shoot to kill raia wasiokuwa na hatia.

Kwa akili yako ya kisoda sababu za kupora mchakato wa uchaguzi na kuiba kura haukuwa sababu za vijana kuandamana?

Sheria mbovu za uchaguzi na tume ya uchaguzi iliyokuwa inapendelea CCM na mwenyekiti wake siyo sababu za vijana kuandamana?

Kuwazuia viongozi wa upinzani kwa kumfungulia kesi ya mchongo Tundu Lissu na kumzuia kugombea, kumzuia Luhaga Mpina kugombea siyo sababu ya vijana kuandamana?

Kuwateka, kuwapoteza, kuwafira na kuwaua wananchi hata kuwavunja miguu wananchi walioenda kusikiliza KESI ya mchongo ya Lissu siyo sababu ya maandamano?

Narudia tena nasisitiza machawa wengi wanapakatwa, fuatilia. Tusipokuwa wakali sisi wazalendo nyie wapuuzi mtaiharibu nchi. Angalia ilivyogawanyika hakuna upendo sababu ni nani?

Kuwaua watanganyika ni malipo sahihi ya uharibifu wa vituo vya mafuta na mwendokasi? Machawa mnakera majibwa nyie
 
Umesema maandamano yale hayakuwa maandamano zilikuwa vurugu zenye nia ya kuiangusha serikali.

Maandamano yanakuwa na utaratibu wenye kueleweka, wapi yanaanzia na wapi yanamalizikia.

Maandamano yanakuwa na mabango yenye kufikisha ujumbe ambao waandamanaji wanataka uwafikie wahusika.

Yalifanyika maandamano yakiongozwa na Mbowe kuna polisi yoyote aliyeingilia kati na bunduki?.

Lissu hakufunguliwa kesi ya mchongo, alisema hadharani atakinukisha na hakuishia kusema tu amesimamia mipango ya hatari ya kuhakikisha 29 October mapinduzi yanafanyika.

Mbona wewe hujatekwa upo huru unaandika maoni yako hapa JF muda huu?. Ukiona mtu katekwa maana yake anayo matatizo yanayomfanya atekwe.

Kuiharibu nchi mliiharibu siku ile mlipofanya zile vurugu kwa kuchoma moto vituo vya mwendo kasi, vituo vya mafuta na kuvunja maduka ya watu kule sinza.

Mngeachiwa mkaingia ikulu na kubadilisha uongozi wa nchi hizi kelele za watu wasio na hatia kuuliwa zingesikika?.

Mpango wenu wa kipuuzi wa kutaka kuipindua nchi ungefanikiwa mngeenda kutia huruma huko ICC?.
 
Sikuwahi kudhani kuwa we ni punguwani kiasi hiki! Kwamba ajira za watu 1,000 unalimganisha na mauaji mliyofanya ya 10k+!? Ajira unaweza kupata nyingine, vipi kuhusu uhai? Hivi hizo 10k mnazolipwa ndo zinawatoa akili na utu kiasi hiki!?
Machawa hawajawahi kuwa na akili hata za kuazima, wanapakatwa na akili zao ziko huko, nisamehe kwa lugha hii nashindwa kuwavumilia wanakera mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…