Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

walijiandaa tangia miaka 100 iliyopita, step by step, its a play book ni kama hollywood movie yenye happy ending ambayo ndiyo sasa kwa upande wao at least wana happy end. sasa nini kifanyike? haiwezi kuwa rahisi kwani wametoka mbali mpaka kuja kufikia hapa walipofikia kwanza mlitambue hilo hamuwezi kwenda vitani na kushinda kama hata adui hamumjui na malengo yake nini, hivyo someni na jielimisheni khs historia ya nchi halafu mtaelewa tumefikaje hapa.

binafsi sishangai kwa maana niliyajua yote kuanzia kifo Nyerere, baadaye uweka hazina wa ccm, Mkapa akaja kuvuta then nikajua game over, hivyo kwanza tulieni na msiwe emotional i.e hasira wekeni pembeni mkiwa na hasira mtamalizwa wote kama kuku, tulieni na someni mchezo kisha mjipange, again ni lazima mmjue adui yenu ni nani na historia yake ...
 
Vita inapiganwa taratibu rafiki tutafika hao watu tunawaunga mkono
Kwanza pole kwa maumivu rafiki yangu mtanganyika, safari ilishaanza tutafika tu na hii vita inapiganwa kwa style hiyohiyo ambayo watu uliowataja wanafanya, na kuwaunga mkono ni kweli tunawaunga sana angalia tumewezesha michango ya baraza kuu! linaenda kufanyika taratibu kutacha
 
Tumeitaka wenyew ndi- ndi
Chama chetu wenyew ndi ndi
Wacha tuisome number eeeh
 

Attachments

  • Screenshot_20260826_202055_Facebook.jpg
    199.4 KB · Views: 7
Umenikumbusha WORKING CLASS MOVEMENT IN ENGLAND..

CHARTISM wali fail ku understand their TRUE ENEMY unajua kwa nini wali jua adui yao mkubwa ni industrial revolution (mashine)

Bagoshaa kushindwa KUMJUA TRUE ENEMY NI KUSHINDWA MAPAMBANO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…