FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Yaani kwa yaliyotokea nahisi kuchanganyikiwa, mwuli umeingia ganzi, na hii yote ni sababu ya madalali wa chanjo, Corona yenyewe hata haipo, basi tu kutaka kupiga mpunga wa bure bure kwa kuagiza chanjo, mimi watanipeleka jela, ila hakai mtu lockdown, R.I.P MagufuliHabarin wadau polen na majukum pia polen kwa mzigo huu wa kiongozi Tulie nae na bila shaka tusipo Tafuta njia za kuutua utatuvunja mgongo
Watanzania maamuzi ni Muda endapo tutachelewa kufanya maamuzi mapema huenda Baadae tukafanya ikawa to late na nchi yetu kua imesha haribiwa ni uyu Rais Tulie nae
Rais toka Ameingia madarakan amekua mtu Wa kuyafanyia kazi Yale anayo yaona mitandao bila kusahau kua dhamana na msimamo wa nchi hauwezi kuamua tu kwa niaba ya watu Fulani wanao kuchochea kuamua na kundi ilo ni ndogo Sana katika asilimia 100 ya watanzania wao ni 3%
Rais toka ameingia madarakan yupo bize anazunguka zunguka tu nakufanya mambo ya sio ya msingi ili kutafuta sifa
Toka ameingia Madarakan kazi alizo fanya ni
Kuteua mawazir
Kuapisha mawazir
Kuteua wakuu wa mikoa
Kuapisha wakuu wa mikoa
Kwenda Kenya
Kwenda Uganda
Kuongea na wazee
Kupokea Ripot ya corona
Ukipiga hesabu apo utaelewa kwanini Rais hatufai
Rais wetu Ana akili Zipo slow Sana yeye na wanao mshaur. Ripot ya Corona Jana imetoka eti wanashauriana namna ya kutuwekea lock down pia serikal ijenge kiwanda cha chanjo how jaman awa viongozi wetu Hua wanarogwa
Ivi serikal umeshindwa hata kutoa Ripot ya miradi alio Iacha magufuli na kuamua kutumia hela hovyo kwa kuunda kamat ambayo Leo inakuja na majibu ambayo kila mmoja a nayajua
Raisi acha kuwaridhisha wajinga wajinga jenga nchi acha kutupeleka tusipo pajua