Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,082
Wewe ndio unaegawa kura?. Au wewe umetumwa na nani kujiona kula za watu wapiga kura milioni 40 mfano asipewe?Ndio tunachotaka atekeleze miradi tutampa kura tofauti na hapo tutamfurusha yeye na CCM yake