Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Yaani kwa yaliyotokea nahisi kuchanganyikiwa, mwuli umeingia ganzi, na hii yote ni sababu ya madalali wa chanjo, Corona yenyewe hata haipo, basi tu kutaka kupiga mpunga wa bure bure kwa kuagiza chanjo, mimi watanipeleka jela, ila hakai mtu lockdown, R.I.P Magufuli
 
Hahaaaa tulieni sindano iwaingie vizuri! Mlijua kukenua meno sana na kuvimba sura kama koboko! Kila mkiambiwa mwendazake anaonea watu mkawa mnachekelea!

Acha mama arekebishe palipo oza!

Ukijickia kichefu kichefu kamulia ndimu!!
 
Rejea imhotep , ni haki yako/ yenu kikatiba kuandamana kwa amani na utulivu hivyo naweza kukushauri undelee na uamuzi wako maana ni haki yako.
 
Hakuna kazi ngumu siku hizi kama kumwambia Kijana afunge kibanda chake cha chipsi anazouza aende kuandamana ili Wewe uitwe Ikulu ukanywe Kahawa na Vihamduni!
Ila kijana wa kumwambia afunge kibamda chake sababu kuna Corona yupo, si ndio eeh?
 
Hahaaaa tulieni sindano iwaingie vizuri! Mlijua kukenua meno sana na kuvimba sura kama koboko! Kila mkiambiwa mwendazake anaonea watu mkawa mnachekelea!

Acha mama arekebishe palipo oza!

Ukijickia kichefu kichefu kamulia ndimu!!
Mama anarekebisha kwa watu wa Mitandaon na kuwaridhisha chadema pia Hua najiuliza kwanini anaogopa Sana Hawa watu Ana Ana kashfa mbaya anaogopa zisiende pablick????
 
tuzidi kumuombea ili asiyumbishwe na wajuaji na walafi wa vyeo.

Mungu amzidishie ujasiri, ufuatiliaji na awe mkali kwa mambo yanayo paswa.

asikubali kila ushauri bila kujiridhisha kwa njia zingine za ziada, tunamuombea nguvu na busara.
 
Ukiona UNAPOTEA suluhisho ni rais sana, achana naye rudi uliko toka.
 
Mputa Mputa kivip mbona mengine mengi ya kipuuzi anayafanya ndani ya muda mchache
Yanayowezekana haraka yanafanyika haraka na yasiyowezeka haraka yanasubiri. Inaonekana yaliyofanyika haraka ndiyo yanayokukera. Sasa unachopaswa kujua pia ni kwamba unavyokereka leo ndivyo wengine walikereka wakati wewe ukimshangilia unayempenda. Inaitwa kutesa kwa zamu usichukie utapasuka ndugu.
 
tuzidi kumuombea ili asiyumbishwe na wajuaji na walafi wa vyeo.

Mungu amzidishie ujasiri, ufuatiliaji na awe mkali kwa mambo yanayo paswa.

asikubali kila ushauri bila kujiridhisha kwa njia zingine za ziada, tunamuombea nguvu na busara.
 
Haiwezekani, nchi inafikia hatua ya kupanga foleni kununua LUKU mkuu wa nchi upo kimya tu huna uamzi wwte unaotoa,

ilianza TRA imefata LUKU what next?


mweshmiwa unachotakiwa ujue ni kua hii nchi imejaa watu wenye viburi sana na wameshika nyadhifa kwaiyo ukiendeleza lugha za kilembo imekula kwako, minne itakutosha


nimeboeka😏
 
Ndugu mtoa mada kupunguza baadhi ya hujuma kama hizi tuliamua angalau tuwe na katiba mpya ambayo wewe kama msimamizi mkuu ungetatakiwa kuachia ngazi mapema kwa uzembe sasa kikwete na maccm wengine wakaamua waendelee kuwanyonya watanzania kwa ujinga wao ,halafu utashangaa leo mtu anamsifia kikwete kwa lipi!wakati jambo la msingi hakufanya !yaani huyu mwanamke ni ziroooooo
 
Kwa hizi nchi za Afrika katiba siyo suruhisho. Kwani hakuna katiba inayosema watumishi wa umma/serikali wawe wazembe kazini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…