barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Another zzzzzzKwanini Rais Samia ahangaike na TANESCO wakati waziri yupo? Nini maana ya kuwa na wasaidizi sasa?
Mama apewe muda.Haiwezekani, nchi inafikia hatua ya kupanga foleni kununua LUKU mkuu wa nchi upo kimya tu huna uamzi wwte unaotoa,
ilianza TRA imefata LUKU what next?
mweshmiwa unachotakiwa ujue ni kua hii nchi imejaa watu wenye viburi sana na wameshika nyadhifa kwaiyo ukiendeleza lugha za kilembo imekula kwako, minne itakutosha
nimeboeka😏
Kwani nyie lini mliwahi kumtupia lawama wazirMuda mwingine muwe mnawaza nje ya box kabla ya kupost,
Why lawama ziende kwa Rais na si kwa waziri muhusika?
Malalamiko na hujuma za kijinga hizi
Mama samia si raisi wa awamu ya sita ni kaimu rais wa awamu ya tano, hivyo anaendeleza awamu ya tano ambayo ilianza 2015 na inakwisha 2025.Yaani kuwa watu humu walidhani Rais wa awamu ya sita ataleta mabadiliko ya ghafla kama ilivyokuwa kifo cha mwendazake. Mleta mada na wote wanaokuunga mkono ni vema mkajua kuwa Rais hatakidhi matamanio ya wote na kwa sasa hajzkidhi matamanio yenu. Hakuna kiongozi makini anayeweza kukidhi matamanio ya wote.
Kuna busara katika kuwa watulivu na wavumilivu wakati Mama anapoweka mambo sawa hata kama si kwa kasi tuipendayo.
Nchi hii ni yetu sote.
Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
Jibu zuri sana! kwa kuongezea MAGUFULI ndiye anafiti kwa mifumo ya AfrikaKwa hizi nchi za Afrika katiba siyo suruhisho. Kwani hakuna katiba inayosema watumishi wa umma/serikali wawe wazembe kazini.
Tumpe muda.Hotuba yake ya siku ya kuapishwa ilinipa matumaini makubwa sana, lakini yote yameyeyuka ndani ya miezi miwili tu.
Nashangaa!!Kwanini Rais Samia ahangaike na TANESCO wakati waziri yupo? Nini maana ya kuwa na wasaidizi sasa?
uchawi ni nn. uchawi ni kutabiri mabaya tuu muda wote kwa mtu ambae hajakutendea jambo baya.Next, Watumishi watakosa mishahara.
Ipo siku, kama naiona.
Mkuu, watu kama hawa watataka mpaka masuala ya kata na tarafa Rais Samia ayafanyie kazi.Nashangaa!!
Ipo siku utakuja kuelewa uongozi wa hayati, nchi hii aiendi bila ya style yake.Hotuba yake ya siku ya kuapishwa ilinipa matumaini makubwa sana, lakini yote yameyeyuka ndani ya miezi miwili tu.
kuna better way ya kuongoza nchi. si lazima style ya ayati.Ipo siku utakuja kuelewa uongozi wa hayati, nchi hii aiendi bila ya style yake.
‘Laissez faire’ na ‘democratic’ leadership tumeshajaribu kwa miaka 30 ya Mwinyi, Mkapa na JK it doesn’t work, unachoitaji ni vision yako kama Magufuli (his wasn’t perfect) and everyone has to with that.
Kama kuna uwezekano tufanye swap mama aende Zanzibar, Tanzania watuletee Dr Mwinyi.
Kwanini Rais Samia ahangaike na TANESCO wakati waziri yupo? Nini maana ya kuwa na wasaidizi sasa?
Maneno mawili hizo ni 'double standards' wamejiwekea.....Kwani nyie lini mliwahi kumtupia lawama wazir
Ipo siku utakuja kuelewa uongozi wa hayati, nchi hii aiendi bila ya style yake.
‘Laissez faire’ na ‘democratic’ leadership tumeshajaribu kwa miaka 30 ya Mwinyi, Mkapa na JK it doesn’t work, unachoitaji ni vision yako kama Magufuli (his wasn’t perfect) and everyone has to with that.
Kama kuna uwezekano tufanye swap mama aende Zanzibar, Tanzania watuletee Dr Mwinyi.
Hawa "gang" walizoea MICROMANAGEMENT ya Jiwe badala ya Rais kusimamia kila kitu wasaidizi wake wanatakiwa wawajibike!! Kwa Mfano kumlaumu Rais kuhusu mambo ya LUKU ni ujinga usait kifani; kwani Waziri wa Nishati Kalemani ameteuliwa kufanya nini? Yeye moja kwa moja ndio anatakiwa kuwajibika akishindwa anaondolewe. Hapo mama Ndio anapotakiwa kuwa mkali kwa wale wanaoshindwa kuwajibika.
very low thinking capacityKwanini Rais Samia ahangaike na TANESCO wakati waziri yupo? Nini maana ya kuwa na wasaidizi sasa?
akichelewa lubadilisha wataendele ku rig mpaka aone nchi chungu. futa wote.Samia Suluhu anafanyiwa Zengwe na hao Die hard Tagaz dawa ni apige chini Wachawi wote apange safu ya watu wapole wenye kupiga kazi kimyakimya bila kutafuta sifa kwa wananchi kwasababu ni wajibu wao