Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Haiwezekani, nchi inafikia hatua ya kupanga foleni kununua LUKU mkuu wa nchi upo kimya tu huna uamzi wwte unaotoa,

ilianza TRA imefata LUKU what next?

mweshmiwa unachotakiwa ujue ni kua hii nchi imejaa watu wenye viburi sana na wameshika nyadhifa kwaiyo ukiendeleza lugha za kilembo imekula kwako, minne itakutosha

nimeboeka😏
Mama apewe muda.
 
Yaani kuwa watu humu walidhani Rais wa awamu ya sita ataleta mabadiliko ya ghafla kama ilivyokuwa kifo cha mwendazake. Mleta mada na wote wanaokuunga mkono ni vema mkajua kuwa Rais hatakidhi matamanio ya wote na kwa sasa hajzkidhi matamanio yenu. Hakuna kiongozi makini anayeweza kukidhi matamanio ya wote.
Kuna busara katika kuwa watulivu na wavumilivu wakati Mama anapoweka mambo sawa hata kama si kwa kasi tuipendayo.
Nchi hii ni yetu sote.

Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
Mama samia si raisi wa awamu ya sita ni kaimu rais wa awamu ya tano, hivyo anaendeleza awamu ya tano ambayo ilianza 2015 na inakwisha 2025.

Kuanzia 2025 ndipo awamu ya tano inaishia baada ya hapo ya sita inaanza.
 
Hotuba yake ya siku ya kuapishwa ilinipa matumaini makubwa sana, lakini yote yameyeyuka ndani ya miezi miwili tu.
Ipo siku utakuja kuelewa uongozi wa hayati, nchi hii aiendi bila ya style yake.

‘Laissez faire’ na ‘democratic’ leadership tumeshajaribu kwa miaka 30 ya Mwinyi, Mkapa na JK it doesn’t work, unachoitaji ni vision yako kama Magufuli (his wasn’t perfect) nonetheless everyone had to toe with that.

Kama kuna uwezekano tufanye swap mama aende Zanzibar, Tanzania watuletee Dr Mwinyi.
 
Samia Suluhu anafanyiwa Zengwe na hao Die hard Tagaz dawa ni apige chini Wachawi wote apange safu ya watu wapole wenye kupiga kazi kimyakimya bila kutafuta sifa kwa wananchi kwasababu ni wajibu wao
 
Ipo siku utakuja kuelewa uongozi wa hayati, nchi hii aiendi bila ya style yake.

‘Laissez faire’ na ‘democratic’ leadership tumeshajaribu kwa miaka 30 ya Mwinyi, Mkapa na JK it doesn’t work, unachoitaji ni vision yako kama Magufuli (his wasn’t perfect) and everyone has to with that.

Kama kuna uwezekano tufanye swap mama aende Zanzibar, Tanzania watuletee Dr Mwinyi.
kuna better way ya kuongoza nchi. si lazima style ya ayati.
mfumo wake ulikuwa una mazuri yes but ulikuwa unaacha damage kubwa behind.

watanzania sio punda. punda style sio solution kwa kila kitu
 
Kwanini Rais Samia ahangaike na TANESCO wakati waziri yupo? Nini maana ya kuwa na wasaidizi sasa?

Hawa "gang" walizoea MICROMANAGEMENT ya Jiwe badala ya Rais kusimamia kila kitu wasaidizi wake wanatakiwa wawajibike!! Kwa Mfano kumlaumu Rais kuhusu mambo ya LUKU ni ujinga usio kifani; kwani Waziri wa Nishati Kalemani ameteuliwa kufanya nini? Yeye moja kwa moja ndio anatakiwa kuwajibika akishindwa anaondolewe. Hapo mama Ndio anapotakiwa kuwa mkali kwa wale wanaoshindwa kuwajibika.
 
Hebu tuondolee upumbavu wako! Madudu yote haya ya kesi 147 za kubambikiwa na watu kuporwa mabilioni yao na huyo jambazi Sabaya huyaoni? Au umeamua kujitoa ufahamu kuhusu yule dhalimu na dikteta magufuli!?
Ipo siku utakuja kuelewa uongozi wa hayati, nchi hii aiendi bila ya style yake.

‘Laissez faire’ na ‘democratic’ leadership tumeshajaribu kwa miaka 30 ya Mwinyi, Mkapa na JK it doesn’t work, unachoitaji ni vision yako kama Magufuli (his wasn’t perfect) and everyone has to with that.

Kama kuna uwezekano tufanye swap mama aende Zanzibar, Tanzania watuletee Dr Mwinyi.
 
Raisi asiye na Upinzani huwa anasinzia tu hadi mambo yaharibike so mlipokuwa mnageuzwa geuzwa mlikuwa mnatulia tu so tulieni... Msitegemee kuvuna Mpunga shambani wakati mmepanda mihogo
 
Mama ni MUOGA sana anakiogopa kiti chake angalia issue ya Biswalo.
Hawa "gang" walizoea MICROMANAGEMENT ya Jiwe badala ya Rais kusimamia kila kitu wasaidizi wake wanatakiwa wawajibike!! Kwa Mfano kumlaumu Rais kuhusu mambo ya LUKU ni ujinga usait kifani; kwani Waziri wa Nishati Kalemani ameteuliwa kufanya nini? Yeye moja kwa moja ndio anatakiwa kuwajibika akishindwa anaondolewe. Hapo mama Ndio anapotakiwa kuwa mkali kwa wale wanaoshindwa kuwajibika.
 
Samia Suluhu anafanyiwa Zengwe na hao Die hard Tagaz dawa ni apige chini Wachawi wote apange safu ya watu wapole wenye kupiga kazi kimyakimya bila kutafuta sifa kwa wananchi kwasababu ni wajibu wao
akichelewa lubadilisha wataendele ku rig mpaka aone nchi chungu. futa wote.
 
Back
Top Bottom