Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea


Yale magenge ya kikabila ni ya kufurusha. Yamedhamiria haswa kumchafua mama.

Kuanza na timu mpya ni suala la msingi sana.
 
Reactions: BAK
Kama atakua na mentality ya kucheka cheka na kuonea huruma watampoteza na atachukiwa na wananchi. Kashika rungu ila anacheka cheka tu. sipendi sana viongozi dhaifu...
Awe kama Raisi Kikwete unamuona anacheka lakini anapiga kazi halafu sisi Wapinzani atupe Uwanja mpana ili tupambane na Mataga
 
Sasa kama kuna waziri kwanini ashughulikie kila kitu yeye.

Mambo ya one man show yameshaisha.

Mama is doing great so far
 
Acha uzwazwa wewe

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Unamlaumu mama bure tu. Waziri wa nishati kazi yake ni nini sasa? Halafu umekata tamaa mapema mno. Ndiyo kwanza mama ana miezi miwili tu. Tumpe muda.
 

Kwa hiyo ungependa wapinzani “opposition” wawe wanapinga kila kitu cha SSH, sawa? Kusiwe na pongezi yakifanywa ya maana?
 
Mkuu kuna kitu kinaitwa kutengua uteuzi and in my opinion it is not to late to do that.
 
Ama kweli hata MWEHU hujiona ana akili inapokuja kwenye kumtetea dhalimu magufuli.
Ipe muda ipo siku akili zako zitakaa sawa tu utaelewa uongozi sio lelemama maslahi yako yataguswa tu kwa namna moja au nyingine ndio utazinduka.


Hizo kesi hazina uhusiano wowote na Magufuli ata yeye mara kadhaa alikuwa akipinga hayo.
 
Welcome to my club Mkuu there is no fee to become a member. Mama Samia is HOPELESS. Utasikia kesho anaruka kwenda Dom/Zenj au kwenye mualiko mwingine wa Museveni 😂😂

Yale magenge ya kikabila yangalipo.

Ripoti za CAG zingemsaidia sana mama kwenye purge stahiki bila mtu kuona amekuwa victimized..
 
Mkuu kuna kitu kinaitwa kutengua uteuzi and in my opinion it is not to late to do that.
BAK, mtu akishateuliwa kuwa Jaji na kuapishwa kumtengua kuna utaratibu wake mahususi ambao haumuhusishi Rais kabisa isipokuwa mahakama!!! It is a complicated process which involves judges from other commonwealth countries to come and do the investigations. Kumbuka kuwa Mahakama ndio inamfungulia mashitaka ya ukiukaji wa maadili!
 
Reactions: BAK
Huyo huwa anahemukwa hajui kitu
 
Kwanini Rais Samia ahangaike na TANESCO wakati waziri yupo? Nini maana ya kuwa na wasaidizi sasa?

Sehemu yeyote kama hakuna kiongozi mchapakazi na aliyemakini walio chini yake lazima wazembee, ndo hivi tunaona hao mawaziri wameona Boss wao soft soft unategemea nini kitafanyika? Kiongozi ndo anatakiwa awe catalyst ya watu kufanya kazi kwa bidii, hata awe na wasaidizi million kama kiongozi haeleweki hakuna kitakachofanyika
 
Mkuu taking into consideration what was done by Biswalo they need need to do this process ASAP! We don’t need to fear how long it will take or how cumbersome the process is. Kumbuka Mkuu HAKI HUINUA TAIFA. Aliyoyafanya Biswalo alipokuwa DPP hayastahili kufumbiwa macho hata chembe ili kutoa fundisho kwa DPP mpya na wa siku za usoni.
 
Hii ndio mentality ninayosemaga kuwa ni mbovu kwetu sisi waafrika. Ina maana mtu mzima haujui majukumu yako mpaka ukumbushwe na boss?
 
Mara bandarini kuna tatizo, mara tra mfumo hauko sawa mara tanesco mfumo unazingua mara albino wameanza uliwa tena....
Mama anacheka tu mitandaoni...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…