Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Pumba tu hizi....
Jana tu tumeona wabunge wa CCM wanavyolia miradi kibao ipo ktk ilani lkn for years lkn haijaguswa na mingine hata mwaka huu unaokwisha...
Sasa Mama hata mwaka bado unaongea vitu gani ?

Au unadhani nae atakuwa mshamba wa kutembea na mabulungutu ktk gari na stage watu wa kuwapa ?

Tena shukuruni yupo busy kuziba mashimo na makovu ya huyo mtu wenu alietesa watu sana kwa kivuli cha kujifanya mzalendo....bingwa wa kubambikia watu kesi !!!
Yupo wapi sasa....mfateni kama mmem miss
 
'Nawaomba sana watumishi mchape kazi"
Alisikika mlevi mmoja eti anamuomba nguruwe kuoga!
 
Wewe bila shaka ni mtumishi wa TRA kwenye kitengo cha Task Force naona ulikuwa na maslahi katika kunyang'anya pesa za watu, kwahiyo naona unaona Rais anakuvuruga kukuambia usitumie nguvu katika kudai kodi.
 
Nimetoka kumuota huyu mama vibaya
Dah...
Tunahitaji taasisi zenye nguvu si mtu kwa kweli
 
Unahakika na hilo,mashaka yangu wakwamia awamu yao wamekutana
 
We endelea kumshangaa wakati wengine tukifurahia ujio wake kuja kufuta machozi watu walioteseka, kuonewa na kubaguliwa
 
Hizo ghasia na matukio ya aina hiyo ni wazi yalibaki historia kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita.

Ajabu kwa muda mfupi kuanzia mwezi wa tatu mwaka huu mambo hayo mabaya yameanza kurejea/kurejeshwa tena.

Sasa ni lipi tatizo ama mapungufu ya mamlaka zinazo husika hadi uharamia huo urejee kwa kasi ya ajabu namna ile?!
 
Sukuma gang wanamhujumu mama.
 
Waziri wa mambo ya ndani anafanya nini? Na IGP anafanya nini na maaskari wake? Hebu waunde kikosi kitembee mtaa kwa mtaa kujua kazi ya kila mtu na suspect awekwe kwenye kikaango cha ujunguzi mbona huo wizi utakwisha.
 
Sasa kama wao walikomesha hali hiyo kwa nini asishirikiane nao ili kukoma kwa hali ile iendelee?
Awamu iliyopita awamu ya tano walikuwepo kama Watu wasiojulikana,leo sukuma gang hawamtaki mama kwa namna yoyote ile hivyo figisu figisu ni nyingi.
 
Katika mambo ambayo awamu sita inatakiwa kufanyia kazi ni pamoja na suala la ujambazi! Haiwezekani mtu upambane kwa jasho then mtu anakuja kukupora kirahisi tu!

Piga risasi majambazi na vibaka wote hamna kuwachekea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…