Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Acha majungu fake.Mama kwa muda mfupi ameleta:
1.kuunganishiwa umeme 27,000.
2.Sasa wananchi tuko huru na tunapumua.
3.Bia bei atashuka
4.Boda faini 10,000
5.Amewaondoa viongozi wahahalifu akgna Sabaya,Chalamila.
6.Ameshusha PAYE
7.AMEWARUHUSU WATUMISHIKWENDA NJE YA NCHI.
Hongera sana mama yetu
8. Anajenga reli SGR kipande Cha Isaka - Mwanza (keshatoa zaidi yaBill. 350)
9. Anapandisha madaraja watumishi 92,000 mchakato unaendelea.
10.Ameshatoa fedha kujenga barabara za kimkakati zinazounganisha mikoa zaidi ya kilometer 1,500 (hizi zilikwama)
11.Ameshatangaza ajira mpya zaidi ya 42,000. Elfu kumi tayari vibali vimeshatolewa
12.Ameondoa faida Kandamizi ya Bodi ya mikopo (Retention fee) ya asilimia sita kila Mwaka katika Deni la la mkopo wa kusoma chuo.
13.Ameondoa faini ya Bodi ya mikopo ya 10% ukichelewa kurejesha.
14. Anamalizia SGR kipande Cha Dar- Moro. Ujenzi unaendelea.
15. Anajenga SGR kipande Cha Dodoma Makutopola Ujenzi unaendelea.
16. Ameanzisha mradi wa kufua umeme mto Malagalasi tayarizaidi ya bill.100 zimeshatolewa.
17. Anaendeleza Ujenzi wa mradi wa kufua umeme wa JK Nyerere Rufiji.
18. Anarudisha nidhamu ya utendaji unaozingatia sheria kwa viongozi wa umma (Wapuuzi,waigizaji,commedian na chawa wawili wameshaondolewa na mmojawao yupo mahakamani)
19. Anarejesha mahusiano ya kidiplomasia,kiuchumi na mataifa ya nje. Tayari mahindi,maharage,pamba nk yameanza kupanda bei.
 
Tulisema huyu mpwani lao moja kurudisha mji mkuu dar.
La kushangaza dodoma ndege kubwa zinatua ila ziara ya rais wa botswana tunaona kupokelewa dar na tafrija zote dar. Samia ajue kwamba magufulist tunamuangalia tukijua kura za magufuli ndio zimempa urais. Tungependa kuona dodoma inapewa haki yake ya mji mkuu. Magufuli hakukosa sehemu dodoma kufanya shughuli yoyote ila mtu mpenda fahari na kujikweza ataona kuna vitu dodoma bado haikidhi.
Yetu macho.. hatutaki maonesho tunataka utendaji wa kimagufuli. Tulimpigia yeye kura samia usituzingue.
Hilarious 😂!
 
Na mbaya zaidi ule uwanja wa Dodoma ulipanuliwa na gharama ya kutosha imetumika, ikulu imejengwa Sasa sijui kinacho mfanya Rais daily pokea wageni dar ni nini?

Hili kwa kweli naungana na wewe mkuu ,Hili halikubaliki, Kama vipi Rais aludishe serikali Dar tujue moja, mamlaka anayo ,but hatutaweza kuukamilisha mji mkuu wa Dodoma Kama mkuu wa Nchi hatakua na commitment, maana KWA Sasa naona Kama viongonzi hawataki kukubali kwamba makao makuu ni Dodoma but daily shughuli nyingi zinafanyika dar ,

Nilitegemea MPAKA mda huu shughuli za kiserikali kufanyika Dodoma, wageni wafikie Dodoma ili kuendelea kuutangaza mji
ataenda kuzifanyia chato basi, ili amuenzi mungu wenu
 
Tuendelee kumkumbusha Rais wetu mpendwa mpaka sasahivi ajafanya chochote chenye multiple effect kwa watanzania.

Tuendelee kumkumbusha ajenda kuu za nchi hii ni

Kutengeneza mifumo imara ya kiutawala
Kuleta katiba mpya yenye matakwa ya wananchi.
Kuwepo tume huru ya kusimamia chaguzi zote za mwakwa 2024 na 2025 na mbele.

Kutengenisha siasa na biashara yaani sector binafsi iwe na nguvu sio kuwa na wafanyabiashara wanasiasa hawa hawatalipa kodi.

Kuwa na elimu maalifa (ujuzi) ( tetchnical education) sio elimu vyeti na kuzalisha watu wasio ajirika hapa tutaondoa tatizo la ajira.

Sera za kibenk kwa vijana ili mabenk yaweze kuwakopesha vijana pesa na watu wafanye biashara sio kukopa mpaka uwe na nyumba au shamba kama ilivyo sasa.

Mawazo ya biashara yapewe mikopo na ziwepo bima za mikopo hiyo.

Mifumo bora ya watanzania masikini kujengewa nyumba na NHC na wao kuzinunua kwa bei ndogo na malipo yawe kidogokidogo.

Sio zijengwe tena zinunuliwe na hao hao wajenzi hapana utengenezwe utaratibu wa kutambua wanaonunua ni masikini au ni matajiri?

Mama Fanya mambo ambayo yanaweza kuleta multiple effect kwa wananchi wote sio siasa za majukwaani au mambo ya kimbizana na wakina Sabaya na wengine.

Ni ushauri wangu tu safari bado ndefu na muda ni mchache tengeneza mifumo wa kisheria kikatiba hata aje mwehu kiasi gani atapita mle mle ndani ya katiba.
Andikaga vizuri basi!!
 
Na mbaya zaidi ule uwanja wa Dodoma ulipanuliwa na gharama ya kutosha imetumika, ikulu imejengwa Sasa sijui kinacho mfanya Rais daily pokea wageni dar ni nini?

Hili kwa kweli naungana na wewe mkuu ,Hili halikubaliki, Kama vipi Rais aludishe serikali Dar tujue moja, mamlaka anayo ,but hatutaweza kuukamilisha mji mkuu wa Dodoma Kama mkuu wa Nchi hatakua na commitment, maana KWA Sasa naona Kama viongonzi hawataki kukubali kwamba makao makuu ni Dodoma but daily shughuli nyingi zinafanyika dar ,

Nilitegemea MPAKA mda huu shughuli za kiserikali kufanyika Dodoma, wageni wafikie Dodoma ili kuendelea kuutangaza mji
Dar es salaam ni kama mwanamke mzuri unayetaka kumuacha.

Lakini kila ukitaka kumuaacha, unajikuta mwenyewe umemrudia.
 
8. Anajenga reli SGR kipande Cha Isaka - Mwanza (keshatoa zaidi yaBill. 350)
9. Anapandisha madaraja watumishi 92,000 mchakato unaendelea.
10.Ameshatoa fedha kujenga barabara za kimkakati zinazounganisha mikoa zaidi ya kilometer 1,500 (hizi zilikwama)
11.Ameshatangaza ajira mpya zaidi ya 42,000. Elfu kumi tayari vibali vimeshatolewa
12.Ameondoa faida Kandamizi ya Bodi ya mikopo (Retention fee) ya asilimia sita kila Mwaka katika Deni la la mkopo wa kusoma chuo.
13.Ameondoa faini ya Bodi ya mikopo ya 10% ukichelewa kurejesha.
14. Anamalizia SGR kipande Cha Dar- Moro. Ujenzi unaendelea.
15. Anajenga SGR kipande Cha Dodoma Makutopola Ujenzi unaendelea.
16. Ameanzisha mradi wa kufua umeme mto Malagalasi tayarizaidi ya bill.100 zimeshatolewa.
17. Anaendeleza Ujenzi wa mradi wa kufua umeme wa JK Nyerere Rufiji.
18. Anarudisha nidhamu ya utendaji unaozingatia sheria kwa viongozi wa umma (Wapuuzi,waigizaji,commedian na chawa wawili wameshaondolewa na mmojawao yupo mahakamani)
19. Anarejesha mahusiano ya kidiplomasia,kiuchumi na mataifa ya nje. Tayari mahindi,maharage,pamba nk yameanza kupanda bei.
Mama ameonyesha uwezo na ukakamavu, hakuna kitu kilichoyumba. Amepitiliza matarajio
 
Na hana uwezo wa kutuongoza kabisa yani.
Asilaumiwe mama SSH hatukumchagua yeye, na yeye ataendelea kuwa makamu wa rais akisubiri maelekezo kutoka kwa rais...kwa bahati mbaya hayupo sasa na hivyo akina JK wanapata mwanya wa kumpa maelekezo 'makamu wa rais' maana ndivyo wanavyomuona! Huu ni ukweli mchungu sana, na unaweza kuligharimu sana taifa😭! Mungu atusaidie watanzania 🙏!
RIE&P our great African hero 💔 Hon Dr JPM 🙏😭!
 
Tuendelee kumkumbusha Rais wetu mpendwa mpaka sasahivi ajafanya chochote chenye multiple effect kwa watanzania.

Tuendelee kumkumbusha ajenda kuu za nchi hii ni

Kutengeneza mifumo imara ya kiutawala
Kuleta katiba mpya yenye matakwa ya wananchi.
Kuwepo tume huru ya kusimamia chaguzi zote za mwakwa 2024 na 2025 na mbele.

Kutengenisha siasa na biashara yaani sector binafsi iwe na nguvu sio kuwa na wafanyabiashara wanasiasa hawa hawatalipa kodi.

Kuwa na elimu maalifa (ujuzi) ( tetchnical education) sio elimu vyeti na kuzalisha watu wasio ajirika hapa tutaondoa tatizo la ajira.

Sera za kibenk kwa vijana ili mabenk yaweze kuwakopesha vijana pesa na watu wafanye biashara sio kukopa mpaka uwe na nyumba au shamba kama ilivyo sasa.

Mawazo ya biashara yapewe mikopo na ziwepo bima za mikopo hiyo.

Mifumo bora ya watanzania masikini kujengewa nyumba na NHC na wao kuzinunua kwa bei ndogo na malipo yawe kidogokidogo.

Sio zijengwe tena zinunuliwe na hao hao wajenzi hapana utengenezwe utaratibu wa kutambua wanaonunua ni masikini au ni matajiri?

Mama Fanya mambo ambayo yanaweza kuleta multiple effect kwa wananchi wote sio siasa za majukwaani au mambo ya kimbizana na wakina Sabaya na wengine.

Ni ushauri wangu tu safari bado ndefu na muda ni mchache tengeneza mifumo wa kisheria kikatiba hata aje mwehu kiasi gani atapita mle mle ndani ya katiba.
Ila yeye labda ameamua kutii chama chake badala ya hayo uliyosema.

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
... nitajie hoteli yoyote Dodoma yenye hadhi ya kufikia mkuu wa nchi ya kigeni na msafara wake! Hebu ongeeni kwa facts badala ya kuwaza kwa akili za marehemu!
Labda Morena

a
Tuendelee kumkumbusha Rais wetu mpendwa mpaka sasahivi ajafanya chochote chenye multiple effect kwa watanzania.

Tuendelee kumkumbusha ajenda kuu za nchi hii ni

Kutengeneza mifumo imara ya kiutawala
Kuleta katiba mpya yenye matakwa ya wananchi.
Kuwepo tume huru ya kusimamia chaguzi zote za mwakwa 2024 na 2025 na mbele.

Kutengenisha siasa na biashara yaani sector binafsi iwe na nguvu sio kuwa na wafanyabiashara wanasiasa hawa hawatalipa kodi.

Kuwa na elimu maalifa (ujuzi) ( tetchnical education) sio elimu vyeti na kuzalisha watu wasio ajirika hapa tutaondoa tatizo la ajira.

Sera za kibenk kwa vijana ili mabenk yaweze kuwakopesha vijana pesa na watu wafanye biashara sio kukopa mpaka uwe na nyumba au shamba kama ilivyo sasa.

Mawazo ya biashara yapewe mikopo na ziwepo bima za mikopo hiyo.

Mifumo bora ya watanzania masikini kujengewa nyumba na NHC na wao kuzinunua kwa bei ndogo na malipo yawe kidogokidogo.

Sio zijengwe tena zinunuliwe na hao hao wajenzi hapana utengenezwe utaratibu wa kutambua wanaonunua ni masikini au ni matajiri?

Mama Fanya mambo ambayo yanaweza kuleta multiple effect kwa wananchi wote sio siasa za majukwaani au mambo ya kimbizana na wakina Sabaya na wengine.

Ni ushauri wangu tu safari bado ndefu na muda ni mchache tengeneza mifumo wa kisheria kikatiba hata aje mwehu kiasi gani atapita mle mle ndani ya katiba.

Aisee mama unataka afanye nini tena juzi ameongea na kina mama bado akina baba na dawati la kina baba litaanzishwa mara moja ili mupeleke malalamiko yenu munayonywanywasa ni wake zenu., ashaongea M7, Kenyata na jana Bostwana, na karibu kila siku anafanya teuzi hizi na zile na chalamila katumbuliwa, sabaya ndio ivyo tena naye unataka mama afanye nini tena
 
Jiji chafu na ufusika umejaa pale bado unataka wageni wafikie pale!! mkuu vipi tena.
 
Hii mada ni ya utambuzi.

Naona kama kuna mnyukano wa 'magenge' hapa!

Haya endeleeni, wengine tutasoma na kufurahi kujua.
 
Dar es salaam ni kama mwanamke mzuri unayetaka kumuacha.

Lakini kila ukitaka kumuaacha, unajikuta mwenyewe umemrudia.
Mkuu unakua ni udhaifu Sasa, kwamba ambacho MWANZO uliona kumuacha , kimeisha mpaka ulejeshe majeshi ,!!
 
Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani..
Hela ya kumalizia bwawa la umeme unaona sio jambo la msingi maana ametoa zaidi ya bilioni 580, hela ya Daraja la busisi, hela ya kujenga phase 3 ya reli ya SGR? Hela alizopeleka Halmashauri? Hela alizoidhinisha za kununua madawa? Tuwe makini basi.
 
Mkuu unakua ni udhaifu Sasa, kwamba ambacho MWANZO uliona kumuacha , kimeisha mpaka ulejeshe majeshi ,!!
Inawezekana udhaifu.

Lakini pia inawezekana unagundua huyo ndiye anayekufaa, ulichepuka kwa tamaa tu.

Kusema kweli kuhamia Dodoma ilikuwa move moja ya kisiasa zaidi. Kulikuwa hakuna sababu ya maana ya kiuchumi au kiusalama, na kadiri muda unavyoenda hilo linaonekana zaidi.
 
Back
Top Bottom