dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
... Marekani cities zote almost ziko sawa in terms of infrastructure, services, hospitality, and the like. There is no significant difference kati ya NY, DC, Los Angeles, Houston, etc. Chadema wakizungumzia sera ya majimbo ili kuwe na ushindani wa maendeleo; miji ikue kama hawaeleweki vile.Binafsi nashangaa sana...hatuwezi diversify maendeleo ya nchi hii kwa kubaki na mentality ya Dar es Salaam tu. It's time tukuze miji mingine...let's make Dodoma our capital city with serious political will. Hata marekani kuna New York lakini serikali imetulizana Washington DC.
Kadiri tunavyoendelea kuwa na "central government" inayomiliki kila kitu na Rais kugawa jinsi apendavyo tusahau habari ya miji na maeneo mengine ya nchi kukua.