kamba huwa inakatikia pabovu, chalamila hakuanza kulalamikiwa leo ni vile 40 yake ishafikaMama mwepesi hana jipya yeye na msoga wake,dotto james,dk bashiru,dk mchembe,kakonko,mfugale hawa ni majambazi sugu wa pesa za watanzania.
Wako wanadunda mtaani tu na magari ya serikali..jicho nyanya hamudu hicho kiti ni katiba imembeba tu,anachoweza ni kushona nguo mpya kila siku
Mitano tena kwa mama atawale mileleMama mwepesi hana jipya yeye na msoga wake,dotto james,dk bashiru,dk mchembe,kakonko,mfugale hawa ni majambazi sugu wa pesa za watanzania.
Wako wanadunda mtaani tu na magari ya serikali..jicho nyanya hamudu hicho kiti ni katiba imembeba tu,anachoweza ni kushona nguo mpya kila siku
Umoja wa kitaifa ulienda wapi? Nani aliupoteza? Kivipi ulipote?Miezi 3 ikulu hakuna umoja wa kitafa
Huna akili wewe. Sada mbona kigogo saizi hapati tena zile habari? Mwenye akili timamu hamwezi kutetea ujinga wa Magufuli na genge la wahuni akina sabaya na chalamila. Hii nchi ni nchi ya wastaarabu. Wasiowastaabu watatangualia mbere , watatuacha sisiHuyu Mama kwa muda wote alioishi pale IKULU Alikuwa Snitch mkubwa kwa #JPM.
Tunaweza elewa sasa KIGOGO account ya msoga ilikuwa inapataje nyeti za IKULU tena on the spot.
Kumbe Link ilikuwa ipo very close!
Inawezekana udhaifu.
Lakini pia inawezekana unagundua huyo ndiye anayekufaa, ulichepuka kwa tamaa tu.
Kusema kweli kuhamia Dodoma ilikuwa move moja ya kisiasa zaidi. Kulikuwa hakuna sababu ya maana ya kiuchumi au kiusalama, na kadiri muda unavyoenda hilo linaonekana zaidi.
Akili ndogo uziaHii awamu kweli ni ya sita sio ya tano kama wengine walivyofikiri kwa kua kura ni za mpendwa wao magufuli.
Watu hazina kuona hakuna magufuli wamepiga hela kwa mwezi mmoja mabilioni kama sherehe...
Cold War era/ liberation era politics za kusema Dar haikuwa secure na iko prone to attacks. This is moot.Politics zilizokuwa nyuma ya hiyo move ni zipi?
Nikutandike tusi baya au zuri....
Ukiachana na usalama Dodoma kuwa makao makuu ya nchi Ina manufaa makubwa ikiwa pamoja na sehemu nyingi ufikiwa kwa urahisi hasa swala la kutatua matatizoCold War era/ liberation era politics za kusema Dar haikuwa secure na iko prone to attacks. This is moot.
Habari za Dodoma kuwa kati ya nchi na kuwareachable kirahisi kutoka sehemu zote za nchi nazo ni moot, more than 10% ya watu wapo Dar, na wanaofanya mingle za kiserikali ni disproportinately hao.Zaidi, e-government ilitakiwa kurahisisha huduma, si kuhamisha mji.
Ukweli ni kwamba Nyerere alikuwa haipendi Dar tu, alikuwa anaiita Rumourville, akataka mji mkuu uende sehemu ya kimya, in keeping with his stoic nature. Lakini, hilo haliendani na matakwa ya kiuchumi na kijamii ya nchi.
Ameeingiza nchi gharama kubwa ya kuhamisha mji mkuu na mpaka leo watu wanazunguka Dar to Dodoma and back kwa gharama kubwa sana bila kuongeza tija yoyote.
Mji mkuu ulikuwepo Dar tayari, hakukuwa na haja ya kwenda Dodoma.