kamba huwa inakatikia pabovu, chalamila hakuanza kulalamikiwa leo ni vile 40 yake ishafikaMama mwepesi hana jipya yeye na msoga wake,dotto james,dk bashiru,dk mchembe,kakonko,mfugale hawa ni majambazi sugu wa pesa za watanzania.
Wako wanadunda mtaani tu na magari ya serikali..jicho nyanya hamudu hicho kiti ni katiba imembeba tu,anachoweza ni kushona nguo mpya kila siku
hao wengine mda wao nao utafika tu