Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Karibuni sana Mtaani Wazee wa Uamsho, Karibu sana Mtaani Habinder Seth, Karibu sana Mtaani Papa Musofe na GENTAMYCINE nafurahi angalau sasa Muziki wa Dansi utarejea na ile tabia ya Wanamuziki Kutunzwa 'Midolari' Ukumbini itarejea...
Tusipotoshe kumbuka utaratibu wa pre bargaining ulianza wakati wa JPM na watuhumiwa wengi waliachiwa kutoka gerezani. Kumbuka Babu Seya pia aliachiwa km uamusho walivyofanyiwa.

Hivyo mama anaendeleza sera hizo. Tusipotoshe kiugombanishi na manufaa yenu. Naamini anayoyafanya yalikwishaanza muda mrefu kabla akiwa msaidizi wa JPM.
 
Kungekuwa na ushahidi wangefungwa na kuhukumiwa...
Sio miaka inaenda mtu anakuwa mtuhumiwa Yuko rumande na wengine mnaona ndo sawa??

Chato is dead and buried ..for good
 
Karibuni sana Mtaani Wazee wa Uamsho, Karibu sana Mtaani Habinder Seth, Karibu sana Mtaani Papa Musofe na GENTAMYCINE nafurahi angalau sasa Muziki wa Dansi utarejea na ile tabia ya Wanamuziki Kutunzwa 'Midolari' Ukumbini itarejea...
Nakumbuka Marehemu Baba yangu, alikua anapenda kuniambia, Mwanangu "trust no body, suspect every body'!! Na hiyo ndiyo kanuni ninayotumia hadi leo,na imenifanya kupata kuwajuwa vizuri watu wanaonizunguka katika Maisha!!
 
Mama Samia Suluhu Hassan ni Rais ambaye anaiongoza nchi akiwa katika wakati mgumu sana ni wakati ambao Dunia ikiwa katika kulazimisha jambo ambalo kiuhalisia Afrika halipo.

Dunia inapitia kipindi kigumu pengine kuliko hata wakati wowote ule yaani inapitia nyakati ambazo maagano ya Kishetani yakishika kasi Duniani kwa mfano kwenye suala la Corona hili suala yaweza kuwa kweli wazungu imewatafuna sana lakini lazima wajue kuwa kila litokealo ulaya na Afrika liko hivyo hivyo hapana miili yetu iko very immune kupambana na so called Covid 19.

Mama Samia anajua wazi kuwa Corona haipo na hata kama ipo si tishio kama ilivyo malaria lakini Wananchi wa Tanzania walipewa imani kubwa sana na Magufuli ya kijiamini sasa basi hii ni ngumu kutengua kauli ya Magufuli ni ngumu na ni ngumu sana mabwana wakubwa wako serious kumshinikkza Mama awake viashiria vya vitisho vya kuvaa barakoa wakati ukweli ni kwamba barakoa is helpless.

Mama Samia yuko amechoka anasubiri tu 2025 amkabidhi kijiti Majaliwa Kassim Majaliwa.
 
Umekwenda Bugando?

Umeenda Dodoma?

Corona ipo hiyo immune mlipewa waafrika kupambana tu na Corona lakini kwenye kupambana na UKIMWI hakuna?

Huu ujinga ujinga ndo ulifanya mwezi wa pili watu wapukutike na huyo aliyepa kujiamini nae akafa na makorona.

Kwa upumbavu Africa tutapata maendeleo miaka 1000 ijayo.
 
Ata wewe unaweza kufa ata kwa kujikwaa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…