Sawa kweli umecomment lakini kweli kulikuwa na haja ya kutunanga? eti tunazaa sana?. DaahKiongozi ukiwafunga watu wenye akili ya kuzalisha ajira, hizo ajira utazitoa wapi kwa hawa watanzania wanaozaa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kweli umecomment lakini kweli kulikuwa na haja ya kutunanga? eti tunazaa sana?. DaahKiongozi ukiwafunga watu wenye akili ya kuzalisha ajira, hizo ajira utazitoa wapi kwa hawa watanzania wanaozaa sana
Tusipotoshe kumbuka utaratibu wa pre bargaining ulianza wakati wa JPM na watuhumiwa wengi waliachiwa kutoka gerezani. Kumbuka Babu Seya pia aliachiwa km uamusho walivyofanyiwa.Karibuni sana Mtaani Wazee wa Uamsho, Karibu sana Mtaani Habinder Seth, Karibu sana Mtaani Papa Musofe na GENTAMYCINE nafurahi angalau sasa Muziki wa Dansi utarejea na ile tabia ya Wanamuziki Kutunzwa 'Midolari' Ukumbini itarejea...
Nakumbuka Marehemu Baba yangu, alikua anapenda kuniambia, Mwanangu "trust no body, suspect every body'!! Na hiyo ndiyo kanuni ninayotumia hadi leo,na imenifanya kupata kuwajuwa vizuri watu wanaonizunguka katika Maisha!!Karibuni sana Mtaani Wazee wa Uamsho, Karibu sana Mtaani Habinder Seth, Karibu sana Mtaani Papa Musofe na GENTAMYCINE nafurahi angalau sasa Muziki wa Dansi utarejea na ile tabia ya Wanamuziki Kutunzwa 'Midolari' Ukumbini itarejea...
Daaaah! Nilikuwa silijui hili! Kumbe CHILUBA, alizaliwa wakati MWANAWASA ni Rais wa Zambia!!!!?To make the story short, Chiluba alijuta kuzaliwa chini ya uongozi wa Mwanawasa.
Kwahiyo Papa Msofe na Seti ndio suluhu ya tatizo la ajira hapa nchini??Kiongozi ukiwafunga watu wenye akili ya kuzalisha ajira, hizo ajira utazitoa wapi kwa hawa watanzania wanaozaa sana
Rudi darasani. Kwenye kiswahili kuna "tamathali za semi", misemo, methali, vipashio, vijembe, n.k.Daaaah! Nilikuwa silijui hili! Kumbe CHILUBA, alizaliwa wakati MWANAWASA ni Rais wa Zambua!!!!?
OohhhoooUmeongea yote Ila hapo mwisho umehara.
Tena kama bata mzingaUmeongea yote Ila hapo mwisho umehara.
Hata ikibidi tubadilushe kabisa katibaUlie tu wee Sumuma Gang. Mama anaenda hadi 2030.
Shujaa Kafa kwa Uzembe Corona imemtafunaKatika suala LA korona Magufuli atabaki kuwa shujaa.
Ata wewe unaweza kufa ata kwa kujikwaa tu.Umekwenda Bugando?
Umeenda Dodoma?
Corona ipo hiyo immune mlipewa waafrika kupambana tu na Corona lakini kwenye kupambana na UKIMWI hakuna ?.
Huu ujinga ujinga ndo ulifanya mwezi wa pili watu wapukutike na huyo aliyepa kujiamini nae akafa na makorona.
Kwa upumbavu Africa tutapata maendeleo miaka 1000 ijayo.