The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Aweke mkataba hadharani kabla hatujajua mazungumzo yao yakoje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua Mwendazake alituachia roho ya kuchukiana, ubabe, na chuki.. Ndio maana mama akijaribu kurekebisha kasoro.. Wafiwa wa Chato wanapagawa
Kule chato ulipata mgao wa nini? Shati?Kwanza, Rais amekuwa ni mtu anayehariri maamuzi ya mtangulizi wake badala ya kuanzisha mema yake. Katika hali hiyo anashangiliwa kwa kuamini kwamba anapambana na maamuzi ya JPM aliyoyafanya. Ni siku 100 hatujasikia muelekeo wake wa uchumi mbali na kukamilisha waliyoanzisha na JPM na yeye kufufua yaliyokataliwa; Bagamoyo...
POLEN WAZEE WA KULINDA LEGACY YA MSEMAKWELI MPENZ WA MUNGUKwanza, Rais amekuwa ni mtu anayehariri maamuzi ya mtangulizi wake badala ya kuanzisha mema yake. Katika hali hiyo anashangiliwa kwa kuamini kwamba anapambana na maamuzi ya JPM aliyoyafanya. Ni siku 100 hatujasikia muelekeo wake wa uchumi mbali na kukamilisha waliyoanzisha na JPM na yeye kufufua yaliyokataliwa; Bagamoyo...
Dhaifu xana
Mpuuzi weye!Kuwa kiongozi ni vema ukawafanya watu wako wafurahie maisha. Siyo kuwa mjingamijinga na kuwakatisha tamaa.Mama Samia saaaaaafiiiiii!😝😝😝😝Kwanza, Rais amekuwa ni mtu anayehariri maamuzi ya mtangulizi wake badala ya kuanzisha mema yake. Katika hali hiyo anashangiliwa kwa kuamini kwamba anapambana na maamuzi ya JPM aliyoyafanya. Ni siku 100 hatujasikia muelekeo wake wa uchumi mbali na kukamilisha waliyoanzisha na JPM na yeye kufufua yaliyokataliwa; Bagamoyo...
Hilo dubu lako liliibomoa nchi. Hata nyumba kama imebomolewa na chizi kama lile dubu lazima uirekebishe kwanza.Kwanza, Rais amekuwa ni mtu anayehariri maamuzi ya mtangulizi wake badala ya kuanzisha mema yake.