Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

KUna dalili kwamba watu wametiwa kibano na maisha. Wako hoi kiasi kwamba sasa wana matumaini na kila jambo, hata kama ni la ujinga tu! Mtu gani anayekubaliana na rais kila jambo? hawa wote wanaomsifia Samia ni bure tu! Hawajui hata nini kizuri au kibaya anachofanya. Wao wapo wapo tu!
Wanaompigia Makofi ni wale wasiojua maana ya Raisi na wajibu wake. Siku hizi yeye amekuwa .mpokea wawekezaji utafikiria ni Waziri. Eti wanakuja watalii waandishi wa Habari il kuandika Stori na kwenda kuzirusha huko tusaidiwe! Kwa ufupi, Raisi anayeamini kuna kitu kinaitwa misaada Duniani kwa ajili ya maendeleo ya Nchi.
 
Kwanza, Rais amekuwa ni mtu anayehariri maamuzi ya mtangulizi wake badala ya kuanzisha mema yake. Katika hali hiyo anashangiliwa kwa kuamini kwamba anapambana na maamuzi ya JPM aliyoyafanya. Ni siku 100 hatujasikia muelekeo wake wa uchumi mbali na kukamilisha waliyoanzisha na JPM na yeye kufufua yaliyokataliwa; Bagamoyo.

Pili ni tabia ya kutaka kumfurahisha kila anayekutana naye. Anakutana na akina mama, anatoa ahadi na kukubaliana nao kila kitu. Anakutana na vijana anatoa ahadi na kukubaliana nao kila kitu. Anakutana na wafanyabiashara, anatoa ahadi na kukubaliana nao kila kitu. anakutana na mwekezaji wa kulima kutoka Malaysia anatoa ahadi.

Unawezaje kukubaliana na kila ombi la wafanyabiashara, utadhani ndo wanaounda serikali? Yaani kwamba serikali haina maoni yake juu ya hayo wanayoyaita ni matatizo ya kibiashara? Rais anataka atunge sheria za kodi kwa kushirikiana na wafanyabiashara kweli?

Nchi inahitaji uongozi. Wanawake waongozwe, vijana waongozwe, wafanyabiashara waongozwe. Wengi hawajielewi zaidi ya familia zao na miradi yao.
Sasa unataka RAIS WA NCHI audhi kila kundi?!!!!

Kwani URAIS ni ufalme ?!!!!

Kukutana kwake na MAASKOFU ni kosa ?!!!
Kukutana kwake na VIJANA ni kosa?!!!
Kukutana kwake na WANAWAKE ni kosa?!!!
Kukutana kwake na WAZEE ni kosa ?!!!

Mbona KATIBA inamuelekeza katika hayo makundi !!

Mbona mikono yake ina "presidential decree"!!!!

Binafsi nasubiri akutane na WALEMAVU......

KULE HALMASHAURI kumetengwa mafungu ya baadhi ya makundi niliyoainisha hapo juu.....waliorasimisha hayo WAMEKOSEA?!!!!

Tuna Rais mpya na hawezi KUWA kama BABA WA TAIFA NA WENGINEO........

*************************
1)Ameanza na AJIRA 8000 zilizokosekana kwa miaka 6....

2)Amefuta tozo ya 6% ya mikopo ya HESLB.....

SILIONI KOSA LAKE......

#MwanzoMzuriKwaRaisSSH
#KaziIendelee
 
Mbona hakukubaliana na hoja ya kupandisha mshahara wakati huu alipoombwa na wafanya kazi? Akili yako fupi sana wewe
 
Aliukwaa urais kwa bahati mbaya that's way hata maamuzi yake ni ya bahati mbaya, shame on katiba kwa maamuz yale
 
Kwanza, Rais amekuwa ni mtu anayehariri maamuzi ya mtangulizi wake badala ya kuanzisha mema yake. Katika hali hiyo anashangiliwa kwa kuamini kwamba anapambana na maamuzi ya JPM aliyoyafanya. Ni siku 100 hatujasikia muelekeo wake wa uchumi mbali na kukamilisha waliyoanzisha na JPM na yeye kufufua yaliyokataliwa; Bagamoyo.

Pili ni tabia ya kutaka kumfurahisha kila anayekutana naye. Anakutana na akina mama, anatoa ahadi na kukubaliana nao kila kitu. Anakutana na vijana anatoa ahadi na kukubaliana nao kila kitu. Anakutana na wafanyabiashara, anatoa ahadi na kukubaliana nao kila kitu. anakutana na mwekezaji wa kulima kutoka Malaysia anatoa ahadi.

Unawezaje kukubaliana na kila ombi la wafanyabiashara, utadhani ndo wanaounda serikali? Yaani kwamba serikali haina maoni yake juu ya hayo wanayoyaita ni matatizo ya kibiashara? Rais anataka atunge sheria za kodi kwa kushirikiana na wafanyabiashara kweli?

Nchi inahitaji uongozi. Wanawake waongozwe, vijana waongozwe, wafanyabiashara waongozwe. Wengi hawajielewi zaidi ya familia zao na miradi yao.
Hama nchi mkuu
 
Sasa unataka RAIS WA NCHI audhi kila kundi?!!!!

Kwani URAIS ni ufalme ?!!!!

Kukutana kwake na MAASKOFU ni kosa ?!!!
Kukutana kwake na VIJANA ni kosa?!!!
Kukutana kwake na WANAWAKE ni kosa?!!!
Kukutana kwake na WAZEE ni kosa ?!!!

Mbona KATIBA inamuelekeza katika hayo makundi !!

Mbona mikono yake ina "presidential decree"!!!!

Binafsi nasubiri akutane na WALEMAVU......

KULE HALMASHAURI kumetengwa mafungu ya baadhi ya makundi niliyoainisha hapo juu.....waliorasimisha hayo WAMEKOSEA?!!!!

Tuna Rais mpya na hawezi KUWA kama BABA WA TAIFA NA WENGINEO........

*************************
1)Ameanza na AJIRA 8000 zilizokosekana kwa miaka 6....

2)Amefuta tozo ya 6% ya mikopo ya HESLB.....

SILIONI KOSA LAKE......

#MwanzoMzuriKwaRaisSSH
#KaziIendelee
Unanikumbusgha mbwa wangu ambaye ukimtupia mfupa, anahangika nao siku nzima wakati nimekula minofu ndani: wewe Unahangika na mfupa! Utakufikisha wapi? Hizo ajira zimeanza leo? Tangu enzi ya Kikwete na tukaishiwa kuambiwa barmaid walivyofaidi.
 
Usisumbuke na hao wahuni, Mama yupo vizuri sana.
 
Aliukwaa urais kwa bahati mbaya that's way hata maamuzi yake ni ya bahati mbaya, shame on katiba kwa maamuz yale

We Msukuma,muogope mungu wako,

Kifo siyo kitu Cha bahat mbaya,Magufuli kafa natural death and gone,makamu mama samia kikatiba akachukua madaraka,don't ask me why Magufuli died,thank God,and ask how??Kweli ulitegemea kuwa leo hayupo??Mungu mkubwa
 
Unanikumbusgha mbwa wangu ambaye ukimtupia mfupa, anahangika nao siku nzima wakati nimekula minofu ndani: wewe Unahangika na mfupa! Utakufikisha wapi? Hizo ajira zimeanza leo? Tangu enzi ya Kikwete na tukaishiwa kuambiwa barmaid walivyofaidi.
Sentensi ya mwisho una maana gani?
 
We Msukuma,muogope mungu wako,

Kifo siyo kitu Cha bahat mbaya,Magufuli kafa natural death and gone,makamu mama samia kikatiba akachukua madaraka,don't ask me why Magufuli died,thank God,and ask how??Kweli ulitegemea kuwa leo hayupo??Mungu mkubwa
Hakuna ulichosema hapo jipange na uje tna.Am out
 
MAMA unatulazimisha tusimame wima kutetea haki zetu za kikatiba, tutakupinga, utakasirika, utaanza kujilinda, utatuwinda, wapambe wataanza kutusaka, watatukamata, tutapewa mashtaka ya uchochezi & uhujumu uchumi. Mama, washauri wako hawajakushauri bado. Usikubali kuchukiwa kizembe
Uwe na heshima na adabu katika ukosoaji wako!
 
MAMA unatulazimisha tusimame wima kutetea haki zetu za kikatiba, tutakupinga, utakasirika, utaanza kujilinda, utatuwinda, wapambe wataanza kutusaka, watatukamata, tutapewa mashtaka ya uchochezi & uhujumu uchumi. Mama, washauri wako hawajakushauri bado. Usikubali kuchukiwa kizembe
Mapema sana kulalamika hivi, tumpe mama muda, mbona kujitwisha lawama
 
Back
Top Bottom