Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Kila mmoja na mtazamo wake katika utawala fulani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kupata hayo maendeleo unayoyataka bila siasa safi na uongozi boraUkiwa kiongozi huwezi kumridhisha kila mtu au kila kundi
ukitaka kumridhisha kila mtu au kila kundi unaweza kukumbwa na mambo makubwa mawili:
1. utachelewa sana kufikia malengo.
2. Unaweza kupoteza mwelekeo.
Kinacho takiwa ni kufanya maendeleo yanayo wagusa wananchi wengi.
Madai ya katiba mpya ni madai ya kikundi kidogo cha wanasiasa wachache.
wananchi walio wengi mijini na vijijini wanataka kasi ya maendeleo iongeze, tunamuomba Rais wetu asicheleweshwe na kelele za watu wachache, wananchi wengi ambao hawapigi kelele wanamatumaini makubwa na yeye.
Kanyaga twende mbele kwa mbele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kenya pamoja na kuwa na katiba bora haija "guarantee mambo hayo unayo yasema?Huwezi kupata hayo maendeleo unayoyataka bila siasa safi na uongozi bora
Ni katiba bora pekee inayoweza kuguarantee vitu hivyo!
GoodRais akiwa na self vision kama unavyosema wewe inasemekana hafati sheria na taratibu.
Vinginevyo nakubaliana na wewe kabisa kwamba nchi ikipata kiongozi mwenye uwezo wa kutatua changamoto ulizozisema anakuwa ni lulu kwa taifa.
Very goodVetting gani wakati mnachagua chama hamchagui uwezo wa mtu
Tena wanawakeMaza hana vision wala mission