Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu hii hela unaweza kuwa unaitoa ukalipe kodi ya serikali!Mtu anaetoa 1M kamapuni husika inakata 8,000 Halafu tozo ya serikali ni 9400!! Serikali ya WANYONGE.
Tuamke KumekuchaReport ya uchunguzi wa BoT haijawekwa wazi kwa umma halafu unaanza kukata watu hela kwa lazima.
Kwahiyo mtoa huduma anatukata halafu anamlipa tax man kodi wakati huohuo maCCM yanachukua hela kinguvu kwenye same transaction? Huu sio wizi ni ujinga kabisa...
Issue (JAMBO KUU) sio waziri au Raisat Samia, bali shida iko kwenye KATIBA. Basi!Kwenye pombe wateja ni wachache na wasingekusanya zaidi
Wale wezi waliokuwa wanatuma sms za "ile pesa tuma kwa namba hii," sasa wameamia IkuluMagufuli alipowaambia anatetea wanyonge hamkumuelewa. Wengine mkadiriki kukanusha unyonge wenu. Haya sasa, fanyeni miamala hiyo mtume na ya kutolea, ninyi si siyo wanyonge bhana.
Wananchi hawajampa hoja mbunge wao ambae ni Zungu wa Ilala, isipokua Africa viongozi wetu wengi wabinafsiIla mimi nataka kujua ni wananchi wa jimbo gani waliomwambia mbunge wao kuwa wanataka gharama za juu kwenye miamala
Kama nchi, tumepigwa.Wale wezi waliokuwa wanatuma sms za "ile pesa tuma kwa namba hii," sasa wameamia Ikulu