Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Nikiwambia magufuri alikuwa jembe mkabisha
Wakati anaondoka mipango hii ya kisaliti ilikuwa mezani kwake. Kumbuka hakuna kinachoenda bungeni na kubarikiwa bila kupitia baraza la mawaziri. Mipango hii ya mwigulu si ya jana.
 
Serikali haramu ufanya mambo ya kiharamu Ili kuumiza watu wake.

Yafaa wananchi kuiondosha mara moja.

Ameshashindwa mapema naona keshaanza kufungasha tutamsaidi kwenye kwenye sanduku la kura.

Hakuna tozo kama hizi duniani kote
 
Magufuli alipowaambia anatetea wanyonge hamkumuelewa. Wengine mkadiriki kukanusha unyonge wenu. Haya sasa, fanyeni miamala hiyo mtume na ya kutolea, ninyi si siyo wanyonge bhana.
 
Bado makato ni madogo sn mwigulu aongeze makato ili miradi iishe haraka, ili tulia akson ana sauti nzuri jamani, sura tu ndio imemuharibia...
Ahahahaha ahahahaha dah sumani unampaka mkongo na wewe kumbe?

Kula kashwagala bro utahunyua mpaka Sililanka.
 
Magufuli alipowaambia anatetea wanyonge hamkumuelewa. Wengine mkadiriki kukanusha unyonge wenu. Haya sasa, fanyeni miamala hiyo mtume na ya kutolea, ninyi si siyo wanyonge bhana.
Mama kalewa madaraka katupiga tatu bila kweli CCM huwezi pata bikira
 
Mmeuhama Tena mjadala wa katiba mpya Hadi kwenye kumlaumu JK,acheni Mambo zenu,nchi inajengwa na wananchi wake,hata ulaya wanalipa Kodi ,mnataka mabeberu ndo waje kutulipia Kodi?

Mwigulu Yuko sahihi,kuliko kuingiza nchi katika madeni yasiyolipika ni Bora sisi watanzania wazalendo tukashiriki katika kulipa Kodi husika,

Nashauri pia kuwe na Kodi kwa wafugaji wa mifugo kwa kila ngombe,mbuzi,kuku, mbwa ,nk.lengo Ni kuinua uchumi wa nchi yetu.

Rais wangu Samia shikia hapo hapo hakuna kuangalia nyuma,sio minne tu mama, wewe unafaa kupewa miaka kumi mbele.
 
Ayatekelezeki kwa vichwa panzi, lakini angekuwa mwenyewe mambo yangekuwa sawa
Nakubali mkuu,

Yangeendelea kutekekezeka kwa kuwateka wakina MO, kubambikizia kesi za uhujumu uchumi watu, kuchukua pesa za wafanyabiashara kwny a/c zao.
 
Kama kawaida Mama anaupiga mwingi

Bei za mafuta tozo juu
Nauli za MIKOA tozo juu
KODI ya majengo kodi juu
Tozo ya uzalendo juu(hapa tunawachangia wenye maV8)

Muda si mrefu daladala watakamua

Je, serikali imekosa ubunifu mpaka kumkamua Mwanachi wa kawaida?

Je, raslimali za nchi zinazosemwa ziko wapi?

Je, mama anaangushwa na mawaziri wake?

Ni upuuzi mtupu kumnyonya Mwanachi wa kawaida

Hapa nina hasira mtu nimemtumia elfu 6 ili apate elfu 5, ikagoma ikabidi niongeze buku.

Mama tumwambie ukweli tusiwe na huruma ya UMAMA itatuponza


"" "haya mambo ya Mama kaupiga mwingi yanatuponza" "
 
Atuangushe mara ya ngapi tena , kama ameweza kuruhusu Mwigulu na genge lake kuleta sheria za hovyo za miamala huku wabunge wakiwa hawalipi hata senti tano ya Kodi, unafikiri ni sawa hiyo? wakati mwingine unaona ni bora hata enzi za mwendazake pamoja na maukimwi yake alikua sometimes kichwa kinafikiria vitu vya maana
 
Atuangushe mara ya ngapi tena , kama ameweza kuruhusu Mwigulu na genge lake kuleta sheria za hovyo za miamala huku wabunge wakiwa hawalipi hata senti tano ya Kodi, unafikiri ni sawa hiyo? wakati mwingine unaona ni bora hata enzi za mwendazake pamoja na maukimwi yake alikua sometimes kichwa kinafikiria vitu vya maana
Bora mwendakazi alikuwa anafikiri vitu vya maana 🤙🤙🤙
 
Report ya uchunguzi wa BoT haijawekwa wazi kwa umma halafu unaanza kukata watu hela kwa lazima.

Kwahiyo mtoa huduma anatukata halafu anamlipa tax man kodi wakati huohuo maCCM yanachukua hela kinguvu kwenye same transaction? Huu sio wizi ni ujinga kabisa na hakuna njia za wazi za kuwawajibisha wakitumia hela kinyume na utaratibu, dai katiba mpya, acha kuwa fala.

Hii government fee kwenye miamala ya simu Serikali iseme inafanyiwa nini.. Yani project gani tangible tuione. Ziwe specific attached to a project.. otherwise huu mzigo hawa jamaa wataishia nunua V80 zao na kulipana posho

When it comes to the issue of KatibaMpya, CCM are not allies. they are enemies and should be treated as such. we should name and shame them. we should stop pandering to them. we should not engage them.
 
Back
Top Bottom