Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Tutaraji taasisi ya Urais Zanzibar itambue kuwa Kifaransa ZENJ BAR ni KISIWA CHA WASHENZI. Jina hili OVU libadilishwe haraka kuwa KHERIBAR (KISIWA CHA KHERI) kama Mtakatifu (saint) KARUME BABA na MZEE MWINYI Walivyo dhamiria.
 
Tukila ugali tushibe vizuri alafu simu iwe na bundle la kutosha, hatudaiwi kodi nje tunayo Vitz tumepaki. Tunalipwa na serikali. Hela ya bia haipigi chenga alafu tunalo limchepuko la maana hapo limetuli. Kiujumla we have No stress😊😊😊

Kazi kubwa ambayo hua imebaki hapo ni kuilaumu serikali tuu.😀😀😀😀
 
Serikali ni watu. Kumbe tujilaumu wenyewe. Miaka 60 baada ya uhuru wa bendera bado tunaongozwa kwa plan ya wakoloni (serikali kuu). Kitu ambacho hata kwenye Katiba ya nchi hakipo?

Tuna-
1) SERIKALI YA MUUNGANO,
2) SERIKALI YA MAPINDUZI na
3) SERIKALI YA MITAA.

SERIKALI KUU IKO WAPI NA NI NINI?

Paroco.
From where shall we start?

Tujilaimu, halifu tujipekuwe. Maandiko matakatifu tunayo -
1) AGANO LA KALE
2) AGANO JIPYA na
3) AGANO LA MWISHO
........
 
Agano LA kale ni Amri 10......
Agano jipya ni katiba mama .....ufu 5:2, 6, 12
Agano LA mwisho ni katibu mwenza Q15:87......juz'u ya 30, 29 na 28 ikijumuishwa na kuadhimisha sabato.....
 
Tukila ugali tushibe vizuri alafu simu iwe na bundle la kutosha, hatudaiwi kodi nje tunayo Vitz tumepaki. Tunalipwa na serikali. Hela ya bia haipigi chenga alafu tunalo limchepuko la maana hapo limetuli. Kiujumla we have No stress😊😊😊

Kazi kubwa ambayo hua imebaki hapo ni kuilaumu serikali tuu.😀😀😀😀
Tuahitaji vikao vya pamoja. Sh All Hadi na katibu wake wajipe MAJUKUMU.

ASANTE KWA KUJIELEWA.
 
Niliweka matumaini makubwa kwa Samia. Sasa naona atakuja kuwa mbaya zaidi kwa kila aspect of life unayoweza kukifikiria.

Pole watanzania
 
Naona kabisa Mama anahujumiwa na watendaji kuanzia mawaziri na wengine
Tozo ya Mafuta juu
Tozo ya Fedha mitandaoni juu
Tozo ya kiwanja kwa luku
Makato ya kwenye vocha juu
Nauli mabasi mikoani juu
kodi za kusafirisha bidhaa nje kubwa mnoo
MAMA YETU UNA MAMLAKA MAKUBWA KWA KATIBA HII FUKUZA WOTE KUANZIA WAZIRI TAFUTA TEAM MPYA YA UCHUMI KWA MASLAHI YA WATANZANIA
 
Kwa kweli nakumbuka wakati wa kuelekea kwenye vijiji vya Ujamaa kwa lazima ,na tukaambiwa tufunge mkaja miezi 18 visa vya geza Ulole .
Sasa CCM wameweka nembo ya Raisi kuwa ni Mama hii moja kwa moja inaashiria shida zitazidi kwa maana sasa ni Maisha Magumu.

waTanzania inabidi tujipange kuyakabili Maisha magumu. Sasa kila kona ya nchi unemsikia ni mama ,huu ni utabiri wa maono kuwa maisha magumu. Sijui mmeanza kuhisi ugumu.
 
Naona kabisa Mama anahujumiwa na watendaji kuanzia mawaziri na wengine
Tozo ya Mafuta juu
Tozo ya Fedha mitandaoni juu
Tozo ya kiwanja kwa luku
Makato ya kwenye vocha juu
Nauli mabasi mikoani juu
kodi za kusafirisha bidhaa nje kubwa mnoo
MAMA YETU UNA MAMLAKA MAKUBWA KWA KATIBA HII FUKUZA WOTE KUANZIA WAZIRI TAFUTA TEAM MPYA YA UCHUMI KWA MASLAHI YA WATANZANIA
Yes atafute timu moya ya uchumi, huku mwingine anaweza subiri, hili la uchumi hapana
 
Naona kabisa Mama anahujumiwa na watendaji kuanzia mawaziri na wengine
Tozo ya Mafuta juu
Tozo ya Fedha mitandaoni juu
Tozo ya kiwanja kwa luku
Makato ya kwenye vocha juu
Nauli mabasi mikoani juu
kodi za kusafirisha bidhaa nje kubwa mnoo
MAMA YETU UNA MAMLAKA MAKUBWA KWA KATIBA HII FUKUZA WOTE KUANZIA WAZIRI TAFUTA TEAM MPYA YA UCHUMI KWA MASLAHI YA WATANZANIA
Mama ajui michezo ya siasa,msingida mbio za uraisi ajakata tamaa bado ngoja amuharibie mama Kwanza
 
Naona kabisa Mama anahujumiwa na watendaji kuanzia mawaziri na wengine
Tozo ya Mafuta juu
Tozo ya Fedha mitandaoni juu
Tozo ya kiwanja kwa luku
Makato ya kwenye vocha juu
Nauli mabasi mikoani juu
kodi za kusafirisha bidhaa nje kubwa mnoo
MAMA YETU UNA MAMLAKA MAKUBWA KWA KATIBA HII FUKUZA WOTE KUANZIA WAZIRI TAFUTA TEAM MPYA YA UCHUMI KWA MASLAHI YA WATANZANIA
Aliambiwa asuke upya safu yake hakusikia waliopo wanamuhujumu kumfitinisha na wananchi asikii ngoja mguu uote tende.Sukuma gang mataga at work.
 
'
20210625_185933.jpg
 
Back
Top Bottom