fathergetho
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 1,556
- 914
hadi sasa ni tatu bilaKwenye korona tumekula za uso, kwenye mafuta bao tatu tayari miamala, nauli za mabasi na makato ya vocha asee. Mtatuua wajameni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hadi sasa ni tatu bilaKwenye korona tumekula za uso, kwenye mafuta bao tatu tayari miamala, nauli za mabasi na makato ya vocha asee. Mtatuua wajameni.
Wakati anaondoka mipango hii ya kisaliti ilikuwa mezani kwake. Kumbuka hakuna kinachoenda bungeni na kubarikiwa bila kupitia baraza la mawaziri. Mipango hii ya mwigulu si ya jana.Nikiwambia magufuri alikuwa jembe mkabisha
Usifanye masihara kabisa na CCM, hao unaoona wameteuliwa ndio Wana afadhali.Umenena,bora achukue upinzani
Ahahahaha ahahahaha dah sumani unampaka mkongo na wewe kumbe?Bado makato ni madogo sn mwigulu aongeze makato ili miradi iishe haraka, ili tulia akson ana sauti nzuri jamani, sura tu ndio imemuharibia...
Mama kalewa madaraka katupiga tatu bila kweli CCM huwezi pata bikiraMagufuli alipowaambia anatetea wanyonge hamkumuelewa. Wengine mkadiriki kukanusha unyonge wenu. Haya sasa, fanyeni miamala hiyo mtume na ya kutolea, ninyi si siyo wanyonge bhana.
Nakubali mkuu,Ayatekelezeki kwa vichwa panzi, lakini angekuwa mwenyewe mambo yangekuwa sawa
JPM alikua anawakamuwa Matajiri, Masikini wakajifunga Ma bom kwatetea Matajiri, sasa Goma limegeuka kwa Masikini ndiyo wanakamuliwa, tusubiri tuone Kama hao Matajiri watatutea Masikini! Bado Kuna mkeka wa Kodi ya majengo unakuja kwenye Luku!! Mama Shikamoo.Nikiwambia magufuri alikuwa jembe mkabisha
Bora mwendakazi alikuwa anafikiri vitu vya maana 🤙🤙🤙Atuangushe mara ya ngapi tena , kama ameweza kuruhusu Mwigulu na genge lake kuleta sheria za hovyo za miamala huku wabunge wakiwa hawalipi hata senti tano ya Kodi, unafikiri ni sawa hiyo? wakati mwingine unaona ni bora hata enzi za mwendazake pamoja na maukimwi yake alikua sometimes kichwa kinafikiria vitu vya maana
umetuma na yakutolea?Kama kawaida Mama anaupiga mwingi
Bei za mafuta tozo juu
Nauli za MIKOA tozo juu
KODI ya majengo kodi juu....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tuna Raisi wa hovyo Sana , hii nchi imelaaniwa nafkri